2025
Changamoto ya Usawa!
Novemba 2025 Rafiki


“Changamoto ya Usawa!” Rafiki, Novemba 2025, 32.

Tuendelee Kusonga Mbele

Changamoto ya Usawa!

  1. Tengeneza njia yenye vikwazo kwa mito, viti, au wanasesere.

  2. Sasa pata kijiko na kitu cho chote kidogo cha duara ambacho kitaenea juu yake, kama mpira wa kudunda, kokoto, au zabibu.

  3. Pitia njia ya kikwazo na uone kama unaweza kuweka kitu hicho sawa kwenye kijiko. Anza pole pole, na unapofanya vyema zaidi, angalia jinsi unavyoweza kwenda haraka!

Ukurasa PDF wa kijiko na mpira mdogo juu yake, na njia kupitia vikwazo vya samani