2025
Kwa Ajili ya Watoto Wadogo
Novemba 2025 Rafiki


“Kwa Ajili ya Watoto Wadogo,” Rafiki, Novemba 2025, 42–43.

Kwa Ajili ya Watoto Wadogo

Mvulana akitabasamu

Nataka kumfuata Yesu na kubatizwa. Ninataka kusikia ushawishi wa Roho Mtakatifu.

Won K., umri miaka 4, Seoul, Korea Kusini

Msichana akitabasamu

Nilihisi wasiwasi kwenda shule mpya. Nilisali kwa ajili ya msaada. Roho Mtakatifu alinisaidia kuwa jasiri. Kila siku nilihisi hofu kidogo. Sasa ninapenda kwenda shuleni.

Lyla R., umri miaka 5, Alabama, Marekani

Muda kwa ajili ya Kanisa!

Onyesha vitu unavyohitaji ili kujiandaa kwa ajili ya kanisa.

Kukuza Kipepeo

Mungu aliumba vitu vyote vilivyo hai! Ni picha ipi inakuja kwanza? Nini kinakuja baada ya hapo? Nini kinachofanyika mwisho?

Fuatilia Magurudumu

Waanzilishi walitumia magari ya kukokotwa na maksai yaliyofunikwa na mikokoteni ya kusukuwa kwa mkonio ili kusafiri. Fuatilia mistari kuzunguka magurudumu ya mikokoteni. Kisha paka picha rangi.

Ukurasa PDF ukiwa na shughuli ya kupaka rangi ya mkokoteni uliofunikwa, shughuli ya kipepeo ili kuweka katika mpangilio, na shughuli ya chaguzi za siku ya Sabato

Vielelezo na Christine Battuz