“Barua ya Rafiki,” Rafiki, Novemba 2025, jalada la nyuma.
Barua ya Rafiki
Mahali Ninaposoma Rafiki
Lou B., umri miaka 7, husoma Rafiki kwa Kijerumani huko North Rhine-Westphalia,, Ujerumani!
Hekalu la Kirtland
Benson P., miaka 6, Nebraska, Marekani, alitengeneza sanaa ya Hekalu la Kirtland (Mei 2024). Pia alipata baadhi ya mahekalu mengine ya kutengeneza.
Tunapenda Kuliona Hekalu
Arturo na Daniela A., umri wa miaka 7 na 4, walitembelea Hekalu la Concepción Chile.
Je, una kitu cha kushiriki? Tutumie pamoja na fomu iliyopo hapa chini.