Novemba 2025 Kikao cha Jumamosi Asubuhi Dallin H. OaksUtanguliziRais Oaks anatambulisha huu mkutano mkuu, ambao utafanyika punde tu baada ya kufariki kwa Rais Russell M. Nelson na kwa hiyo si kawaida lakini utaendelea kama ulivyopangwa. Henry B. EyringKuwakubali Viongozi Wakuu wenye Mamlaka, Sabini wa Maeneo na Maafisa WakuuMzee Eyring anawasilisha Viongozi Wakuu Wenye Mamlaka, Sabini wa Maeneo na Maafisa Wakuu wa Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku za Mwisho kwa ajili ya kura ya kuwakubali. Gary E. StevensonHeri WapatanishiMzee Stevenson anatufundisha kufuata mawaidha ya Mwokozi ili kuwa wapatanishi—katika mioyo Yetu, nyumbani, na katika jamii zetu. Tracy Y. BrowningTuni Moyo Wako kwa Yesu Kristo: Zawadi Takatifu ya Muziki wa WatotoDada Browning anafundisha kwamba muziki unaweza kushuhudia juu ya Mwokozi na kufundisha kweli muhimu za injili ambazo tunaweza kubaki nazo katika maisha yote. Ronald M. Barcellos“Bwana Huutazama Moyo.”Mzee Barcellos anatualika kuitoa mioyo yetu kwa Bwana kwa kuweka nia zadi ya kumfuata Yeye. Brik V. EyreJua Wewe ni Nani HasaMzee Eyre anashiriki njia mbili za kuelewa vyema zaidi kile inachomaanisha kuwa mtoto wa Mungu. Kelly R. JohnsonMpatanishwe kwa MunguMzee Johnson anatualika kupatanishwa na Mungu kupitia Upatanisho wa Yesu Kristo. Dieter F. UchtdorfFanya Sehemu Yako kwa Moyo Wako WoteMzee Uchtdorf anafundisha kwamba tunapaswa kufanya kazi kukuza vipaji ambavyo Mungu ametupatia ili vitubariki sisi na wengine. Kikao cha Jumamosi Mchana Ronald A. RasbandTangazo la Familia—Maneno kutoka kwa MunguMzee Rasband anashiriki kanuni kutoka kwenye tangazo juu ya familia na anafundisha kwamba waraka huu una asili ya kiungu na unapaswa kuchukuliwa kwa unyenyekevu utolewao kwa maneno yatokayo kwa Mungu. Chad H. WebbIli Wote Wapate KujengwaKaka Webb anafundisha jinsi tunaweza kumwalika Roho Mtakatifu kutufundisha kweli za injili. Jeremy R. JaggiNafsi za Unyenyekevu kwenye Madhabahu Wapiga MagotiMzee Jaggi anafundisha kwamba tutabarikiwa tunapotunza maagano tunayofanya pamoja na Mungu kwenye madhabahu takatifu. Kevin G. BrownZawadi ya Milele ya UshuhudaMzee Brown anashiriki kweli tatu ambazo zinaelekeza shuhuda zetu na kutuhimiza sisi kuchagua kuamini. Gerrit W. GongHakuna Anayekaa Peke YakeMzee Gong anafundisha kwamba Bwana anatualika sote kuja Kwake na kuwa tumeunganika katika Kanisa Lake. Michael CzieslaUrahisi katika KristoMzee Cziesla anafundisha kwamba kutumia mafundisho ya Kristo katika njia iliyorahisishwa kutatuletea shangwe, kutupa mwongozo katika miito yetu, kujibu baadhi ya maswali changamani sana ya maisha, na kutoa nguvu. Quentin L. CookBwana Anaiharakisha Kazi Yake.Mzee Cook anafundisha kwamba Bwana anapoharakisha kazi Yake, waumini wa Kanisa wana wajibu mtakatifu wa kuwakubali na kuwakaribisha waumini wapya na wanaorejea. Anatoa ushauri kwa hawa waumini wapya au wanaorejea. Kikao cha Jumamosi Jioni Patrick KearonYesu Kristo na Mwanzo Wako MpyaMzee Kearon anashuhudia kwamba Yesu Kristo anatupa mwanzo mpya—mingi kadri unavyohitaji—wakati tunalemewa na dhambi, udhaifu, kukwazika. J. Anette DennisKushangilianaDada Dennis anafundisha kwamba tuna jukumu la maagano la kupendana na kujitahidi kuwa na umoja. Steven C. Barlow“Je, Wanipenda?”Mzee Barlow anaelezea njia nne tunazoweza kuonyesha upendo wetu kwa Mungu, ambazo zinaweza kutusaidia kutambua upendo Wake kwetu. William K. JacksonKumkumbuka KondooMzee Jackson anafundisha kwamba tunapaswa kufokasi kwenye kuwahudumia watu katika huduma yetu ndani ya Kanisa, tukifuata kanuni za kuhesabu na kutunza kumbukumbu za mahesabu. Neil L. AndersenUpendo wa Yesu Kristo wa Kulipia DhambiMzee Andersen anafundisha kuhusu nguvu za Yesu Kristo za kuleta msamaha kwa wale ambao wametenda dhambi na uponyaji kwa wale ambao wamejeruhiwa na dhambi za wengine. Kikao cha Jumapili Asubuhi Jeffrey R. HollandNa Sasa NaonaMzee Holland anafundisha kwamba kama tu Bwana alivyomponya kipofu kwa mchanganyiko wa udongo, Yeye mara kwa mara hutumia vitu vinyenyekevu au visivyo vya kawaida kutubariki na kutufundisha. James E. EvansonNenda na Utende Vivyo HivyoMzee Evanson anaangazia wamisionari wa kutoa huduma na kufundisha jinsi huduma yao inavyosaidia kuwaleta watu kwa Kristo na inaweka mfano kwa ajili yetu. Ulisses SoaresKupambwa na Wema wa KiasiMzee Soares anafundisha kwamba kuwa na kiasi huoanisha na kuimarisha sifa zingine kama za Kristo. Anatualika kufuata mfano wa Mwokozi na na kufanya maadili haya yawe sehemu ya tabia yetu. Peter M. JohnsonNguvu ya Kumtumikia Yule MmojaMzee Johnson anafundisha kwamba tunapomhudumia yule mmoja katika njia ambazo huelekeza katika nyumba ya Bwana, tunasaidiana kuwa wanafunzi waliojitolea wa Yesu Kristo. D. Todd Christofferson“Mtegemee Mungu na Uishi”Mzee Christofferson anafundisha kwamba kumtegemea Mungu huleta baraka, ikijumuisha usitawi na kipawa cha Roho Mtakatifu. Andrea Muñoz SpannausManabii wa MunguDada Spannaus anafundisha jinsi vijana wanaweza kupata ushuhuda wao wenyewe wa manabii waliohai wa Mungu. Henry B. EyringKuthibitishwa na Kuimarishwa katika KristoMzee Eyring anafundisha kwamba changamoto zetu zinaweza kutuimarisha ikiwa tutamtegemea Mwokozi na kumgeukia Yeye. Kikao cha Jumapili Mchana David A. BednarNi Waamuzi Wao WenyeweMzee Bednar anafafanua jinsi Siku ya hukumu inavyoweza kuwa ya kupendeza, siku tukufu, badala ya siku ambayo tunayoihofia au ya kutisha. B. Corey CuvelierJina Ambalo Ninyi MnaitwaMzee Cuvelier anashiriki kile mbacho humaanisha kwa kujichukulia juu yetu jina la Kristo. Matthew S. HollandUsiachie Kujihurumia MwenyeweMzee Holland anatufundisha kufuata mfano wa Yona na kualika rehema ya Kristo yenye msukumo wa ajabu. Carlos A. GodoyNyuso zenye Tabasamu na Mioyo ya ShukraniMzee Godoy anafundisha jinsi Watakatifu katika Afrika wanaishi kwa shangwe na shukrani licha ya changamoto kwa kufokasi kwa Mwokozi. Dale G. RenlundKujichukulia Jina la Yesu Kristo.Mzee Renlund anafundisha kwamba tunapo jichukulia juu yetu wenyewe jina la Kristo, tunaweza kuwa kama Yeye. John D. AmosMaelezo ya Mapishi ya Habari NjemaMzee Amos anafundisha kwamba tunaweza kupata furaha tunapofanya zaidi katika kile kinachomwalika Yesu kristo ndani ya maisha yetu. Ozani FariasKitabu cha Mormoni—Hazina Isiyopimika kwenye Safari YetuMzee Farias anatoa mapendekezo matatu ambayo yanaweza kusaidia kuimarisha uongofu wetu kwa Yesu Kristo kupitia kujifunza Kitabu cha Mormoni. Dallin H. OaksFamilia-Kitovu cha Injili ya Yesu KristoRais Oaks anafafanua kwa nini familia ni ya muhimu sana kwenye injili ya Yesu Kristo na anaelezea vitu ambavyo tunaweza kufanya ili kuimarisha familia zetu. Habari za Kanisa Kumkumbuka Rais NelsonFamilia, marafiki, na viongozi wanatoa heshima kwa Rais Russell M. Nelson katika mazishi yake. Nyuma ya Pazia: Matangazo na Majarida ya MkutanoMaelfu wanafanya kazi nyuma ya pazia kwenye mkutano mkuu ili kukuletea jumbe zenye mwongozo wa kiungu. Viongozi Wakuu Wenye Mamlaka na Maafisa Wakuu wa Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku za MwishoChati inayoonesha Viongozi wa Kanisa. Kufundisha, Kujifunza, na Kutumia Jumbe kutoka kwenye Mkutano Mkuu