“Nyuma ya Pazia: Matangazo na Majarida ya Mkutano,” Liahona, Nov. 2025.
Habari za Kanisa
Nyuma ya Pazia: Matangazo na Majarida ya Mkutano
Mara mbili kwa mwaka, waumini husikia kutoka kwa viongozi wa Kanisa kwenye mkutano mkuu. Maelfu wanafanya kazi nyuma ya pazia ili kukuletea jumbe zao zenye mwongozo wa kiungu. Video mbili za hivi karibuni zinaangazia juhudi za wale wanao zalisha matangazo ya mkutano na wale wanao andaa magazeti husika.