“Kusherehekea Pasaka,” Rafiki, Machi 2026, 1.
Itafute ya Mikono Saidizi!
Kusherehekea Pasaka
Watoto hawa wa huko Texas, Marekani, walisherehekea Pasaka kwa shughuli ya Watoto! (Ona picha zao kwenye jalada la nyuma.) Pia walitengeneza kadi na bangili kwa ajili ya watu waliokuwa wagonjwa.
Vielelezo na Kelly Kennedy Vinaweza kunakiliwa kwa matumizi ya Kanisa pekee.