“Bingo ya Mkutano mkuu,” Rafiki, Machi, 2026, 49.
Bingo ya Mkutano Mkuu
Jaribu shughuli hii ya burudani wakati ukisikiliza mkutano mkuu! Wakati mnenaji anapozungumza kuhusu mojawapo ya mada hizi, tumia kitu kidogo kufunika mraba huo. Angalia kama unaweza kufunika miraba mitano mfululizo. Kisha jaribu kufunika ubao wote!
-
Yesu Kristo
-
Upendo
-
Maandiko Matakatifu
-
Ongeza ya kwako mwenyewe
-
Ubatizo
-
Mahekalu
-
Imani
-
Familia
-
Huduma
-
Kanisa
-
Msamaha
-
Wamisionari
-
Nafasi ya Wazi
-
Urejesho
-
Zaka
-
Pasaka
-
Ongeza ya kwako mwenyewe
-
Sakramenti
-
Ushuhuda
-
Historia ya Familia
-
Roho Mtakatifu
-
Amani
-
Sala
-
Ongeza ya kwako mwenyewe
-
Manabii
Vielelezo na Josh Talbot