“Wakati wa Shughuli,” Rafiki, Machi 2026, 32.
Muda wa Shughuli
Yesu Kristo alikufa na kufufuka tena ili tuweze kuishi pamoja Naye na familia zetu milele siku moja. Pasaka ni wakati wa tumaini na furaha kwa sababu ya Yesu!
Wakati Yesu Kristo alipoingia Yerusalemu, watu walimpokea kwa kumpungia matawi ya mitende, kama hii!
Je, unaweza kupata angalau tofauti saba kati ya picha hizi mbili za asubuhi ya Pasaka?
Yesu Kristo ni Mchungaji Mwema. Anawahesabu kondoo Wake. Je, unaweza kuwahesabu kondoo hawa na wanyama wengine? Andika namba katika visanduku!
-
Kondoo
-
Punda
-
Sungura
-
Ndege
-
Nguchiro
Vielelezo na Moira Millman. Vinaweza kunakiliwa kwa matumizi ya Kanisa pekee.