“Manabii na Mitume Hufundisha Kuhusu Yesu Kristo,” Rafiki, Machi. 2026, 10–11.
Manabii na Mitume Hufundisha Kuhusu Yesu Kristo
Kusikiliza Mkutano na Kupaka Rangi
Mwaka huu, mkutano mkuu upo jumapili ya Pasaka! Sikiliza kile nabii na mitume wanachofundisha kuhusu Yesu Kristo na Upatanisho Wake. Paka rangi sehemu ya moyo unaposikia mojawapo ya maneno haya.
Upatanisho
Mkombozi
Yesu Kristo
Mwokozi
Pasaka
Ufufuko
Unaposikiliza mkutano mkuu, andika au chora kile unachojifunza kuhusu Yesu.
Vielelezo na Sarah Keele Inaweza kunakiliwa kwa matumizi ya Kanisa pekee.