Rafiki
Changamoto ya Shughuli za Pasaka
Machi 2026


“Changamoto ya Shughuli za Pasaka,” Rafiki, Machi 2026, 14–15.

Changamoto ya Shughuli za Pasaka

Fanya mojawapo ya shughuli hizi kila siku kuelekea pasaka, anza mapema kadiri uwezavyo. Paka rangi picha kwa kila shughuli unayofanya!

  • Soma ujumbe wa Dada Browning kwenye ukurasa wa 2.

  • Imba wimbo kuhusu Pasaka.

  • Soma Yohana 20:1–18.

  • Andika, chora, au shiriki ushuhuda wako juu ya Yesu Kristo.

  • Sali kwa ajili ya mtu anayehitaji upendo wa ziada.

  • Soma simulizi ya Pasaka kwenye ukurasa wa 4–7.

  • Tafuta kwenye jarida ili kujifunza jinsi wengine wanavyosherehekea Pasaka.

  • Unapopokea sakramenti, fikiria kuhusu Yesu Kristo.

  • Tazama video ya Pasaka kwenye ChurchofJesusChrist.org.

  • Rangi ukurasa wa 24–25 Je, ulijifunza chochote kipya?

  • Jishughulishe kwenye programu ya Pasaka kwa kutumia ukurasa wa 18–23.

  • Jifunze kuhusu Pasaka kote ulimwenguni kwenye ukurasa wa 28–29.

  • Tengeneza sanaa ya Pasaka kwenye ukurasa wa 38–39.

  • Tumia ukurasa wa 8–9 kutengeneza bustani ya Ufufuko.

  • Mtumikie mmoja wa wanafamilia yako.

Shughuli kwenye mfumo wa PDF ikiwa na picha za kupaka rangi na maudhui ya Pasaka

Kielelezo na Simona Love Inaweza kunakiliwa kwa matumizi ya Kanisa pekee.