Machi 2026 Mwokozi WanguSanaa ya mchoro ya kupendeza ya Yesu Kristo. Karibuni, Marafiki!Barua kwa watoto na wazazi kuhusu kujiandaa kwa ajili ya Pasaka Kutoka kwa Urais wa WatotoTracy Y. BrowningKwa Maana Jinsi Hii Mungu Aliupenda UlimwenguDada Browning anashiriki ujumbe kuhusu Upatanisho wa Yesu Kristo. Mpango Mzuri wa BabaHadithi ya kielelezo kuhusu mpango wa wokovu na nafasi ya Yesu Kristo katika mpango huo. Sanaa ya Bustani ya UfufukoBuni bustani ya ufufuko kwa kutumia vifaa vya kazi za mikono na vitu unavyovipata nje. Manabii na Mitume Hufundisha Kuhusu Yesu KristoNukuu na shughuli kwa ajili ya kujiandaa kwa ajili ya mkutano mkuu. Kim Webb ReidWiki Takatifu ya MiaMia na familia yake wanasherehekea Wiki Takatifu ya Pasaka. Changamoto ya Shughuli za PasakaOrodha ya shughuli ambazo watoto wanaweza kufanya ili kujifunza kuhusu Yesu Kristo kabla ya Pasaka. Mchezo wa PasakaNi programu ya Pasaka unayoweza kuiigiza pamoja na familia yako wakati wa Pasaka. Safari Kupitia Wiki TakatifuUpakaji Rangi wa Ukurasa wa Wiki Takatifu Tamaduni MpyaMargo na PauloMargo na Paulo wanasherehekea Pasaka pamoja na familia yao. Pasaka Kote UlimwenguniJifunze kuhusu tamaduni za Pasaka kutoka nchi za ulimwenguni kote. Bethany BartholomewPasaka NjemaGloria na familia yake wanachora mayai na kuzungumza kuhusu maana halisi ya Pasaka. Wakati wa ShughuliUkurasa wa shughuli za Pasaka Kate AndersonBlanketi za PasakaWatoto nchini Australia wanatoa mablanketi kwa akina dada waseja katika kata yao. Kelvin NjengaShiriki Habari NjemaRyan anajifunza kuhusu Ufufuko na kuushiriki na familia yake. Kona ya Sanaa ya PasakaSanaa za Pasaka na maelezo ya upishi kwa ajili ya watoto. Ipate Mikono Saidizi!Kusherehekea PasakaShughuli ya picha iliyofichwa kuhusu mradi wa huduma ya Pasaka. Njoo, UnifuateBurudani ya Kimaandiko ya Kila WikiTumia shughuli hizi ili kujifunza Njoo, Unifuate pamoja na familia yako. Naweza Kuwa Mkarimu kwa WengineUkurasa wa kupaka rangi ukionyesha mtoto akiwa mkarimu kwa mtoto mwingine Njoo, UnifuateNabii MusaSoma hadithi kuhusu Musa akikimbia kutoka Misri na kuitwa kama nabii. Bingo za Mkutano MkuuShughuli ya bingo ya mkutano mkuu kwa ajili ya watoto. Barua ya RafikiSoma baadhi ya barua kutoka kwa marafiki zetu kote ulimwenguni!