Kwa Ajili ya Nguvu kwa Vijana
Sehemu ya Burudani
Kwa Ajili ya Nguvu kwa Vijana Januari 2026


Sehemu ya Burudani

Sehemu ya Burudani

Pakua PDF

Vielelezo na Michelle Dickson

Imefichwa katika Edeni

Adamu na Hawa kwanza waliishi katika bustani nzuri huko Edeni (ona Mwanzo 2; Musa 3). Je, unaweza kupata mimea na miti iliyofichwa katika taswira hii ya bustani?

Kuoanisha Uumbaji

Katika siku sita, Yesu Kristo aliumba dunia chini ya maelekezo ya Baba wa Mbinguni (Musa 1:33), kisha akapumzika siku ya saba (Musa 3:1–3; Mwanzo 2:1–3).

Je, unajua nini kiliumbwa kwa kila moja ya siku sita? Chora mstari ili kuunganisha siku na picha yake inayooana. (Kama unahitaji msaada, soma Musa 2 au Mwanzo 1.)

  • Siku ya Kwanza

  • Siku ya Pili

  • Siku ya Tatu

  • Siku ya Nne

  • Siku ya Tano

  • Siku ya Sita

  • A.

  • B.

  • C.

  • D.

  • E.

  • F.

Kufikiria mambo ya anga katika Henoko

Mji wa Henoko “ulichukuliwa mbinguni” baada ya wao kuwa “wa moyo mmoja na wazo moja” (Musa 7:18–21). Je, wewe unaweza kusaidia mji huu kuwa “mmoja” kwa kutafuta vipande sahihi vinavyokosekana?

1.

2.

3.

4.

5.

6.

Vichekesho

kichekesho

Ni kwa jinsi gani ninapaswa kukushinda unapokuwa daima Samweli Mlamani? Yeye anayokinga ya mashambulizi ya mshale!

Val Chadwick Bagley

Majibu

Kuoanisha Uumbaji: Siku ya kwanza: C (nuru na giza); siku ya pili: E (anga); siku ya tatu: B (mimea); siku ya nne: D (jua, mwezi, nyota); Siku ya tano: F (ndege na viumbe wa baharini); siku ya sita: (wanyama na wanadamu).

Kufikiria Mambo ya Anga katika Henoko: 2