Kwa Ajili ya Nguvu kwa Vijana Novemba 2025 Dallin H. OaksUtanguliziRais Oaks anatambulisha mkutano huu mkuu, ambao unafanyika mara tu baada ya kufariki kwa Rais Russell M. Nelson na kwa hiyo siyo wa kawaida lakini utaendelea kama ulivyo pangwa. Dondoo. Dallin H. OaksFamilia-Kitovu cha Injili ya Yesu KristoRais Oaks anaelezea kwa nini familia ni muhimu sana katika injili ya Yesu Kristo na anaelezea mambo tunayoweza kufanya ili kuimarisha familia zetu. Dondoo. Gary E. StevensonHeri WapatanishiMzee Stevenson anatufundisha kufuata ushawishi wa Mwokozi kuwa wapatanishi—katika mioyo yetu, nyumbani, na katika jumuiya zetu. Dondoo. Tracy Y. BrowningTuni Moyo Wako kwa Yesu Kristo: Zawadi Takatifu ya Muziki wa WatotoDada Browning anafundisha kwamba muziki unaweza kushuhudia juu ya Mwokozi na kufundisha kweli muhimu za injili ambazo tunaweza kubaki nazo katika maisha yote. Dondoo. Dieter F. UchtdorfFanya Sehemu Yako kwa Moyo Wako WoteMzee Uchtdorf anafundisha kwamba tunapaswa kufanya kazi kukuza vipaji ambavyo Mungu ametupatia ili vitubariki sisi na wengine. Dondoo. Ronald A. RasbandTangazo la Familia—Maneno kutoka kwa MunguMzee Rasband anashiriki kanuni kutoka kwenye tangazo juu ya familia na anafundisha kwamba waraka huu una asili ya kiungu na unapaswa kuchukuliwa kwa unyenyekevu utolewao kwa maneno yatokayo kwa Mungu. Dondoo. Gerrit W. GongHakuna Anayeketi Peke YakeMzee Gong anafundisha kwamba Bwana anatualika sote kuja Kwake na kuwa tumeunganika katika Kanisa Lake. Dondoo. Quentin L. CookBwana Anaharakisha Kazi YakeMzee Cook anafundisha kwamba Bwana anapoharakisha kazi Yake, waumini wa Kanisa wana jukumu takatifu la kuwakubali na kuwakaribisha waumini wapya na wanaorudi. Anatoa ushauri kwa waumini hawa wapya au wanaorudi. Dondoo. Patrick KearonYesu Kristo na Mwanzo Wako MpyaMzee Kearon anashuhudia kwamba Yesu Kristo anatupa mianzo mipya—mingi kadiri tunavyohitaji—wakati tunapolemewa na dhambi, udhaifu, au kukwazika. Dondoo. J. Anette DennisKushangilianaDada Dennis anafundisha kwamba tuna jukumu la agano la kupendana na kujitahidi kuwa na umoja. Dondoo. Neil L. AndersenDhabihu ya Upendo ya Yesu KristoMzee Andersen anafundisha kuhusu nguvu ya Yesu Kristo kuleta msamaha kwa wale ambao wametenda dhambi na uponyaji kwa wale ambao wamejeruhiwa na dhambi za wengine. Dondoo. Jeffrey R. HollandNa Sasa NaonaMzee Holland anafundisha kwamba kama vile Bwana alivyomponya mtu kipofu kwa kutumia mchanganyiko wa udongo, Mara nyingi Yeye hutumia vitu vidogo au visivyo vya kawaida kutubariki na kutufundisha. Dondoo. Ulisses SoaresKupambwa kwa Maadili ya Kuwa na KiasiMzee Soares anafundisha kwamba kuwa na kiasi huoanisha na kuimarisha sifa zingine kama za Kristo. Anatualika kufuata mfano wa Mwokozi na kufanya maadili haya yawe sehemu ya tabia yetu. Dondoo. D. Todd ChristoffersonMtegemee Mungu na UishiMzee Christofferson anafundisha kwamba kumtegemea Mungu huleta baraka, ikijumuisha usitawi na kipawa cha Roho Mtakatifu. Dondoo. Andrea Muñoz SpannausManabii wa MunguDada Spannaus anafundisha jinsi vijana wanavyoweza kupata ushuhuda wao wenyewe wa manabii walio hai wa Mungu. Dondoo. Henry B. EyringNimethibitishwa na Kuimarishwa katika KristoMzee Eyring anafundisha kwamba changamoto zetu zinaweza kutuimarisha ikiwa tutamtegemea Mwokozi na kumgeukia Yeye. Dondoo. David A. BednarNi Waamuzi Wao WenyeweMzee Bednar anaelezea jinsi Siku ya Hukumu inavyoweza kuwa siku ya kupendeza, tukufu, badala ya siku tunayoogopa au kutetemeka. Dondoo. Dale G. RenlundKujichukulia Jina la Yesu KristoMzee Renlund anafundisha kwamba tunapojichukulia juu yetu wenyewe jina la Kristo, tunaweza kuwa kama Yeye. Dondoo. BangoDallin H. OaksMfano Wetu wa Mwisho wa KuigwaBango kuhusu Yesu Kristo, kulingana na nukuu kutoka kwa Rais Dallin H. Oaks katika mkutano mkuu wa Oktoba 2025. Kidijitali PekeeKaratasi za Kupamba Ukutani za Mkutano MkuuKaratasi za kupamba kwenye simu kutoka kwenye mkutano mkuu wa Oktoba 2025. Mabango kwa ajili ya Krismasi na Dhima ya Vijana kwa Mwaka 2026Hapa kuna mabango mawili maalumu: moja kwa ajili ya Krismasi na moja kwa ajili ya Dhima ya Vijana kwa mwaka 2026.