Mabango kwa ajili ya Krismasi na Dhima ya Vijana kwa Mwaka 2026
Tembea pamoja nami • Musa 6:34
“Tazama Roho yangu i juu yako, kwa sababu hiyo maneno yako yote nitayahesabia kuwa haki; na milima itakukimbia mbele yako, na mito itageuka kutoka uelekeo wake; nawe utakaa ndani yangu, nami ndani yako; kwa hiyo tembea pamoja nawe.” —Musa 6:34
© 2025 na Intellectual Reserve, Inc. Haki zote zimehifadhiwa. PD80063195 000
Kwaya ya Mbinguni, na Kelsy na Jesse Lightweave