Januari 2026 Liahona Makala Zilizopo David A. BednarWashiriki wa Asili ya KiunguMzee Bednar anafundisha kwamba nafsi zetu zinapaswa kuvimba kwa shukrani tunapofikiria mpango mkuu wa Mungu juu ya wokovu, ukombozi, urejesho, rehema, na furaha. Wanawake wa AganoJ. Anette DennisUsalama katika Injili ya Urejesho ya Yesu KristoDada Dennis anafundisha kwamba njia ya kurudi kwa Mungu imewekwa alama zilizo wazi kama tunayo imani na tunamwamini Mwokozi wetu. Ahmad S. CorbittUaminifu na Manabii—Waliopita na WaliopoMzee Corbitt anafundisha kanuni tano ambazo zinaweza kutusaidia kuepuka mtego wa kuwa kinyume na manabii na mitume. Shaun StahleHuduma kama ya Kristo Imelainisha Mioyo, Imefungua Milango huko CorsicaWamisionari walikuja Corsica wakiwa tayari kuhudumu, huduma ambayo ilifungua milango na kulainisha mioyo. Njoo, Unifuate David R. SeelyKumtafuta Kristo na Maagano: Funguo za Nefi za Kusoma Agano la KaleProfesa wa maandiko ya kale anashiriki baadhi ya utambuzi wa kuweka akilini tunapojifunza Agano la Kale mwaka huu. Ted BarnesRafiki Yako Njoo, Unifuate“Njoo, Unifuate” kwa ajili ya mwaka 2026 ni mwongozo wa kirafiki kwenye Agano la Kale na maneno ya Kristo. Sauti za Watakatifu wa Siku za Mwisho Axa Dennise ZárateBwana AtaniongozaMwandishi anajifunza kwamba hahitaji kuhofu kwa ajili ya siku zijazo kwa sababu Mungu ameandaa kwa ajili yake na bado anafanya miujiza kwa ajili ya watoto Wake. William SumanSala Moyoni MwanguUshauri kutoka kwa mama wa mwandishi kuweka sala moyoni mwake kila siku huleta tofauti kubwa katika maisha yake. Nicole MuramatsuNilihisi AmaniKupiga kinanda wakati wa mkutano wa sakramenti huleta maumivu kwa mwandishi, lakini anasali kwa ajili ya, na anapokea, faraja na msaada wa mbinguni. Ronda MerrellHaijapotea kwa MwokoziAkiwa na wasiwasi kuhusu wanafamilia ambao wametangatanga mbali na Kanisa, mwandishi anapokea faraja hekaluni. Yesmin OliverosNinawezaje Kulalamika?Licha ya dhiki, mwandishi na familia yake wanashikilia fimbo ya chuma kwa uhakika kwamba wanasonga mbele kuelekea maisha bora ya baadaye. Vijana Wakubwa Chakell Wardleigh HerbertPale Dhambi Inaposababisha Machafuko, Kristo Huleta AmaniYesu Kristo anaweza kukufanya kuwa huru kutokana na machafuko ya maisha ya duniani. Madelyn MaxfieldToba Siyo Tu Kuhusu Kushinda DhambiFuraha ya ukombozi huja kutokana na kukuza uhusiano wa kina na Mwokozi. Jared AcabadoNiliogopa kuzungumza na Askofu Wangu—Je, Angechukuliaje?Zawadi ya toba inaweza kujaza maisha yetu kwa shangwe. Mfululizo Endelevu Watakatifu katika Kila NchiScott HalesNitakwenda UtakakoMsamoa Emma Purcell alisafiri maelfu ya maili kuhubiri injili ya urejesho katika nchi yake. Kurasa za Eneo la Afrika ya Kati Kufanya Maagano ya Bwana Yaandikwe katika Mioyo Yetu Safari Yetu kuelekea Nyumba Nzuri ya Mungu, Hekalu Wakati Mwili na Roho Vinapoungana Kutoka kuwa Wakimbizi hadi Waanzilishi Wito Wa Makala Nyenzo Maalumu za Kanisa za Mtandaoni