Kwa Ajili ya Nguvu Kwa Vijana Machi 2025 Karibu kwenye Toleo HiliRais Emily Belle FreemanMsaada kwa ajili ya Siku NgumuRais Freeman anawakaribisha wasomaji kwenye toleo hili. Mzee Neil L. AndersenBaba yako wa Mbinguni Anataka Kuzungumza NaweKuwa na imani kwamba Baba yako wa Mbinguni anazungumza nawe. Yupo pale na anakupenda zaidi ya maneno yanavyoweza kusema. David DicksonAisikrimu, Urafiki, na Kumpenda Jirani YakoKitendo rahisi cha ukarimu kilichofanywa na rafiki kilifikia hadi kumsaidia msichana ambaye alikuwa anakabiliana na hali ngumu ya kifamilia. Jessica Zoey StrongKwa ajili ya Wakati Unapokuwa Umevunjika MoyoMakala kwa ajili ya vijana kuhusu kushinda kuvunjika moyo kwa msaada wa Mwokozi. Sauti za VijanaVictoria E.Mwokozi Alinisaidia KubadilikaWatu walimwambia msichana kuwa alionekana kuwa na hasira wakati wote, hivyo alimgeukia Mungu katika sala. Sauti za VijanaEmma R.Nitakuwa SAWA!Msichana anapata wasiwasi kushiriki kanisani na seminari, lakini maandiko katika Mafundisho na Maagano yanamsaidia ahisi faraja. Eric B. MurdockKusonga pamoja na RohoBaba wa Mbinguni anataka kuzungumza nawe. Hapa kuna njia za kufanya mawasiliano hayo yaendelee. Kate Stewart na Simona LoveSiku Mbaya Iligeuka kuwa NzuriHadithi ya kielelezo kuhusu msichana ambaye ana siku mbaya na jinsi inavyogeuzwa. Kate StewartMoto. Visu. Kucheza Dansi. Kushiriki Injili.Dansi ya Kisamoa ya Fireknife inahusiana na injili ya Yesu Kristo kwa vijana huko Hawaii, Marekani. Brynn WenglerSiri ya Kutokuanguka TenaJifunze njia nne za kubadilisha mtazamo wako kuhusu kushindwa. Eric D.SniderKushinda Vikwazo vya SalaHapa ni mawazo ya kushinda vitu vitatu vya kawaida ambavyo vinaingia katika njia ya kusali. Unganika na … Maja C. wa SloveniaWasifu mfupi na ushuhuda kutoka kwa Maja C., msichana kutoka Slovenia. Njoo, UnifuateEric D. Snider na David A. EdwardsHazina ZilizofichikaFunua umaizi katika Mafundisho na Maagano 18–28. Sehemu ya BurudaniBurudani za vichekesho na shughuli, ikiwa ni pamoja na kupaka rangi kwa namba, chemsha bongo ya hisabati, na kutafuta hazina zilizofichwa. Jalil T.Ni Wapi Unaweza Kupata Nguvu Wakati Unapohisi Kukataliwa?Jalil T. kutoka New Caledonia anashiriki hadithi kuhusu kumtegemea Mwokozi katika nyakati za kukataliwa. BangoYeye Ni Mfano WanguBango likikuhimiza wewe kumtegemea Kristo katika nyakati za kukataliwa. Kama Ambavyo Yeye AngefanyaPicha yenye kuvutia ya Mwokozi, pamoja na nukuu kutoka kwa Mzee Gong. Maswali na Majibu Maswali na MajibuNi kwa jinsi gani bado ninaweza kuwa na tumaini na kujiandaa kwa ajili ya familia yangu ya baadaye wakati ulimwengu unakatisha tamaa?Majibu ya swali: “Ninawezaje bado kuwa na tumaini na kujiandaa kwa ajili ya familia yangu ya baadaye wakati ulimwengu unakatisha sana tamaa?” Kwenye HojaNi kwa jinsi gani tunaishi katika ulimwengu na “kuweka kando mambo ya ulimwengu huu”?Jibu kwa swali hili: Ni kwa jinsi gani tunaishi katika ulimwengu na “kuweka kando mambo ya ulimwengu huu”?