2025
Sehemu ya Burudani
Machi 2025


Sehemu ya Burudani

msichana

Vielelezo na Dave Klüg

Pakua PDF

Kupaka rangi kwa msimbo

Baba wa Mbinguni husikia na kujibu sala zako. Paka rangi kwa namba kulingana na msimbo uliopo hapa chini ili kufunua picha.

Hisabatiya Kimuziki

Bwana anapenda “wimbo wa moyoni” (Mafundisho na Maagano 25:__). Tafuta namba ya mstari wa andiko hili kwa kufikiria kile ambacho ishara zinawakilisha katika fumbo la hesabu na kisha kutatua mlinganyo wa mwisho.

Chemsha bongo ya Hisabati:

Mlinganyo wa Mwisho:

“Tafuta” yaliyo Bora

Mafundisho na Maagano 25:10 inatualika sisi “kuyaweka kando mambo ya ulimwengu huu, na kuyatafuta mambo yaliyo bora.” Tafuta (na upate) picha hizi tano tofauti za Mwokozi kote katika toleo hili la jarida.

Namba ya ukurasa

1.

2.

3.

4.

5.

Vichekesho

kichekesho

Nadhani ulikuwa sahihi. Huwezi kubadilisha sukari kwa chumvi.

Val Chadwick Bagley

kichekesho

Kiasi cha siki, vitunguu, juisi ya limao, na pilipili manga! Ndiyo! Kijiko kikubwa cha dawa ya Bibi kitakurekebisha!

Na … unajua nini? Nitaendelea tu kuwa mgonjwa.

Ryan Stoker

Majibu

Hisabati ya Kimuziki: Mstari wa: 12. (Saksafoni: 2, Sailofoni: 4, Ngoma: 6, Gita: 8.) Tafuta yaliyo Bora: Ukurasa wa 3, 10, 27, 31, na jalada la nyuma