“Kuficha na Kutafuta Maandiko,” Rafiki, Januari 2026, 49.
Kuficha na Kutafuta Maandiko
Unaweza kujifunza kuhusu Yesu Kristo katika Agano la Kale. Kata kadi na uache mtu mmoja azifiche kote chumbani. Kisha tafuta kadi zilizofichwa. Unapopata moja, tafuta andiko na lisomeni pamoja.
Malaki 3:1
Isaya 9:6
Isaya 53:4–5
Zaburi 23:1–2
Picha kwa hisani ya Havenlight—Kunywa na Kamwe Hutaona Kiu na Yongsung Kim
Picha kwa hisani ya Havenlight. Zawadi ya Kwanza na Yongsung Kim
Picha kwa hisani ya Havenlight. Kuwaongoza Nyumbani na Yongsung Kim
Picha kwa hisani ya Havenlight. Bwana wa Sala—Huru na Yongsung Kim