Septemba 2025 Makala Zilizoangaziwa D. Todd ChristoffersonKubarikiwa kwa Mamlaka na Nguvu ya UkuhaniMzee Christofferson anafundisha kwamba waumini wa Kanisa wameitwa kutumia nguvu za Mungu ili kuhudumu na kuwabariki wengine katika Kanisa, nyumbani na kote ulimwenguni. S. Mark PalmerMiti ya Thamani ya Bonsai na Shuhuda za ThamaniMzee Palmer anafundisha kwamba ushuhuda ni zawadi ya thamani kuu ambayo inahitaji kujitolea kibinafsi na imani kwa ajili yake ili iweze kudumu na kupitishwa kwa vizazi vijavyo. Wanawake wa AganoCamille N. JohnsonMasomo Niliyojifunza katika Kumwalika Kristo Aandike Hadithi YanguRais Johnson anafundisha kwamba kuelewa jukumu letu, dhumuni, na wajibu katika mpango wa furaha hutuwezesha, huleta hakikisho jipya na shangwe. Maadhimisho ya Miaka 30 ya Tangazo la FamiliaFamilia: Tangazo kwa UlimwenguMaandishi kamili ya “Familia: Tangazo kwa Ulimwengu” Maadhimisho ya Miaka 30 ya Tangazo la FamiliaKwa Ajili ya Siku ZetuMiaka thelathini baada ya tangazo juu ya familia kutangazwa kwa ulimwengu, kanuni zake takatifu ni za usahihi zaidi na halali kuliko hapo awali. Maadhimisho ya Miaka 30 ya Tangazo la FamiliaKwa Usanifu wa Kiungu: Mafundisho ya Kitume juu ya FamiliaUrais wa Kwanza na washiriki wa Akidi ya Mitume Kumi na Wawili wanafundisha kuhusu umuhimu wa familia. DB TroesterUVIKO Karibu Iharibu Ndoto Yake kwenye Kwaya ya TabernacleUviko-19 karibu imzuie kuimba pamoja na Kwaya ya Tabernacle. Mitazamo ya Kihistoria juu ya Nyumba ya BwanaAmy HarrisIbada za Hekaluni Zinaleta Umoja, Kuunganika na KuunganishaHistoria ya kazi ya hekalu katika siku za mwisho inaonyesha shauku na ufunuo wa mstari juu ya mstari kwa ajili ya ubatizo kwa niaba ya wafu. Alyssa BradfordBaraka Zangu Nilizoahidiwa kutokana na Kulipa Zaka Ziko Wapi?Tunapoamini katika Bwana, baraka za mbinguni zitafuata. Sauti za Watakatifu wa Siku za Mwisho Olivia ArayaMungu Alinipa AmaniUkaribu ambao mwandishi alihisi kwa Baba wa Mbinguni ulimpatia amani baada ya kumpoteza mtoto kwenye kuharibika kwa mimba. Marcelo MaldonadoBwana Aliniongoza NyumbaniBaada ya kufuata msukumo wa kiroho wa kurudi katika nchi yake ya nyumbani ya Bolivia, mwandishi anabarikiwa sana. JeriAnn HillegeistNataka Kuwa Kama WeweBaada ya sala, mama ambaye anahisi hastahili katika jukumu lake anahisi upendo wa Mungu ukitambua juhudi zake. Shirley Ann Slade BrownUmemfanya Bibi Yako Awe na FurahaMwandishi, ambaye wazazi wake ni viziwi, anahisi kwamba familia yake hatimaye “inalingana” na Watakatifu wa Siku za Mwisho wengine baada ya familia yake kuunganishwa hekaluni. Nicolas WatbledKama Mungu Alikuwa na Kanisa DunianiMwandishi bila kutarajia analipata Kanisa, ambalo linafundisha mafundisho aliyokuja kuyaamini kwa kujifunza Biblia na kutafuta ukweli yeye mwenyewe. Vijana Wakubwa Maswali na Majibu kuhusu Afya ya AkiliNukuu kutoka kwa viongozi wa Kanisa ili kujibu maswali ya vijana wakubwa kuhusu afya ya akili. Mfululizo wa Matukio Kanisa huko MongoliaKanisa huko MongoliaKanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku za Mwisho limekua kwa kasi huko Mongolia. Sanaa ya Historia ya KanisaNyumba ya Joseph na Emma Smith huko KirtlandPicha ya msanii ya nyumba ya Joseph na Emma Smith huko Kirtland, Ohio, Marekani