Kwa Ajili ya Nguvu kwa Vijana, Septemba 2025 Tamara W. RuniaJe, Ni Nini Kinachofanya Kanisa Lako Kuwa Tofauti?Dada Runia anatambulisha toleo hili la jarida na baadhi ya dhamira zake. D. Todd ChristoffersonBaraka za Mamlaka na Nguvu ya UkuhaniOna jinsi ukuhani wa Mungu ulivyorejeshwa katika siku yetu ili kuwabariki watoto wote wa Mungu. Brynn WenglerYesu Kristo Ni kwa Ajili ya Siku Njema PiaHaya ni baadhi ya mawazo ya kuendelea kufokasi kwa Mwokozi hata wakati mambo yanapokwenda vizuri. Sauti za VijanaLinnaea E.Msongo wa Mawazo, Roho, na MaandikoMsichana anayehama hama sana anazungumzia kuhusu jinsi alivyojifunza kuthamini usomaji wa maandiko. Sauti za VijanaAnicet P.Kifo Siyo MwishoMvulana anazungumza kuhusu jinsi yeye na familia yake walivyobaki imara katika imani yao baada ya mama yake kuteseka kutokana na kiharusi. Sauti za VijanaEru M.Faraja ya Mkutano MkuuMsichana ambaye aliombwa kuzungumza katika mkutano wa kigingi anapata faraja kutoka kwenye hotuba ya mkutano mkuu. Eric D.SniderKushiriki Shangwe huko KenyaRobert L. kutoka Kenya alipata injili na ilibidi aishiriki na kila mtu aliyemjua. Njoo, UnifuateEric D.SniderHazina ZilizofichikaOna kile unachoweza kujifunza zaidi unapochimba kwa kina zaidi ndani ya Mafundisho na Maagano. UnganikaUnganika na … Danic L. wa MalaysiaWasifu mfupi na ushuhuda kutoka kwa Danic L,, mvulana kutoka Malaysia. Sara R.Hakujua NiliuhitajiMsichana kutoka Guatemala ambaye alikuwa akipitia mapambano alikwenda seminari na kupokea ushahidi kwamba Baba wa Mbinguni anamjali. David A. Edwards na Eric B. MurdockIshara za Ujio wa Pili: Hakuna Sababu ya HofuIshara za Ujio wa Pili wa Kristo zinaweza kuogopesha, lakini wanafunzi Wake wana sababu nzuri za kutoogopa. Janae Castillo, Jessica Zoey Strong, na Brynn WenglerYesu Kristo Ni Mambo Mazuri Zaidi YajayoUnaweza kupata shangwe katika Mwokozi licha ya magumu ya ulimwengu kabla ya Ujio wa Pili wa Yesu Kristo. Madelyn Maxfield na Cam KendellMigogoro ya ardhi ya kambiHadithi ya kielelezo kuhusu ndugu wawili ambao wanahitaji kujifunza kuelewana. Eric B. MurcdockTangazo la Familia na WeweTangazo la familia linafikisha miaka 30 mwezi huu. Ona jinsi inavyoweza kuibariki familia yako leo. Sehemu ya BurudaniVichekesho vya burudani na shughuli, ikiwa ni pamoja na shughuli ya kuchora, chemsha bongo, na chemsha bongo ya kuona. Rebeca C.Vipi Kama Ninahangaika Kupata Marafiki?Rebeca C. anashiriki hadithi kuhusu kumtazamia Kristo wakati alipohamia shule mpya. BangoYeye Ni Rafiki YanguBango lenye nukuu yenye mwongozo wa kiungu na Mzee Buckner. Ona zaidi ya MapambanoPicha ya Yesu Kristo pamoja na nukuu yenye mwongozo wa kiungu kutoka kwa Mzee Andersen. Maswali na Majibu Maswali na MajibuMarafiki zangu wema wanafanya chaguzi ambazo zinanifanya kutojisikia vizuri. Nifanye nini?Majibu ya swali: “Marafiki zangu wema wanafanya chaguzi ambazo zinanifanya kutojisikia vizuri. Nifanye nini? Kwenye HojaSayuni ni nini?Jibu la swali: “Sayuni ni nini?”