Julai 2025 Makala Zilizoangaziwa Gary E. StevensonPata Shangwe katika Safari Yako ya InjiliMzee Stevenson anawaalika Watakatifu wa Siku za Mwisho kushiriki matunda ya injili na kuhisi shangwe katika maisha haya wanaposafiri kuelekea uzima wa milele. Edward DubeUpendo na Kujali kwa Mwokozi kwa ajili ya yule MmojaMzee Dube anafundisha kwamba tumeombwa kupendana na kutumikiana kama Yesu Kristo anavyofanya—mmoja mmoja. Wanawake wa AganoUrais Mkuu wa Muungano wa UsaidiziKujali: Mpango wa Ulimwengu wa Kuboresha Ustawi wa Wanawake na WatotoWakati Kanisa linashirikiana na mashirika ya kujali ustawi wa wanawake na watoto, kila mmoja wetu anaweza kutimiza lengo la Muungano wa Usaidizi kuleta faraja ya kimwili na kiroho. Njia Rahisi za Kuwa Zaidi Kama Kristo katika Utumishi WetuWaumini wanne wanashiriki uzoefu wao. Trevor HinckleyKuwatumikia Wale wenye Mizio ya HarufuTunataka watu wote waweze kuhudhuria kanisani na hekaluni, lakini kudhurika na harufu za kemikali kunaweza kufanya iwe vigumu. Hapa kuna baadhi ya mawazo ya kusaidia! Emily Judson SinkovicBaraza la Wenza: Kutengeneza Furaha ya Makusudi katika NdoaKwa mazoezi, tofauti zitaanza kuonekana kama fursa za uhusiano badala ya vizuizi. Sauti za Watakatifu wa Siku za Mwisho Brookie DickersonTungemwona Mjukuu Wetu TenaMwandishi na mumewe wanabarikiwa kwa uamuzi wao wa kukubali mwaliko wa Rais Nelson wa kuhudhuria hekaluni mara kwa mara. Gary M. JohnsonImani ya Dada MuñozMmisionari wa zamani anashiriki hadithi ya kimiujiza ya imani na uponyaji wakati wa huduma yake huko Colombia. Robert DilKupanda Sauti za MuzikiMwandishi anashiriki ushuhuda wake kwamba tunabarikiwa tunapotafuta fursa za kumtumikia na kumsifu Bwana popote tulipo na kwa njia yoyote tunayoweza. Chantele SedgwickKubembelezwa na Bwana ili KulalaMtazamo wa mwandishi juu ya majaribu na baraka hubadilika baada ya mtoto wake kutulia na anahisi faraja kufuatia baraka ya ukuhani. Junya MizoguchiNinahisi Amani Moyoni MwanguUamuzi wa mwandishi wa kuukuza wito wake kanisani licha ya madai ya wakati wake wakati akiwa shule ya uuguzi unambariki yeye baadaye nyumbani na kazini. Njoo, Unifuate Nathan H. WilliamsKujibu Swali Kuu: Mnafikiria Nini Kuhusu Kristo?Mafundisho na Maagano 76 inatualika kutafakari juu ya swali hili kuu. Vijana Wakubwa Ricardo P. GiménezUshauri Wangu kwa Vijana Wakubwa kuhusu Miadi na NdoaMzee Giménez anashiriki ushauri kwa kuwa na kusudi la miadi na ndoa. Barua kwa Wale Wanaohangaika na KusameheKijana mkubwa anashiriki msukumo wake wa kumsamehe mtu aliyekuumiza. Mfululizo wa Matukio Hadithi kutoka Watakatifu, Juzuu ya 4Kutoroka kutoka VietnamuWatakatifu wa Vietinamu wanashikilia imani yao wanapokimbia kutoka vitani. Sanaa ya Historia ya KanisaNyumbani kwa JohnsonMchoro wa msanii wa nyumba ya Johnson huko Hiram, Ohio, Marekani