Mpendwa Msomaji wa Liahona
Tunayo furaha kushiriki pamoja nawe baadhi ya dondoo kutoka kwenye mkutano mkuu. Tunatumaini kwamba toleo hili litakubariki katika kujifunza kwako binafsi na kama familia. Unaweza kuyafikia mahubiri kamili kidijitali kupitia aplikesheni ya Gospel Library au kwa kutembelea gc.ChurchofJesusChrist.org.