Kwa Ajili ya Nguvu kwa Vijana Novemba 2024 Rais Russell M. NelsonBwana Yesu Kristo Atakuja TenaRais Nelson anafundisha kwamba sasa ni wakati wa kumfanya Yesu Kristo msingi wa maisha yetu na kujiandaa kwa ajili ya Ujio Wake wa Pili. Dondoo. Rais Dallin H. OaksKumfuata KristoRais Oaks anafundisha umuhimu wa kufuata amri za Yesu Kristo, akisisitiza amri Yake ya kuepukana na ubishi. Dondoo. Rais Henry B. EyringRahisi Ni Mafundisho ya Yesu KristoRais Eyring anatuhimiza kufundisha injili ya kweli ya Yesu Kristo kwa urahisi. Kisha wapendwa wetu wataikumbuka pale majaribu yanapokuja, na sisi tutabarikiwa. Dondoo. Mzee Neil L. AndersenUshindi wa TumainiMzee Andersen anafundisha kwamba tunapokuwa na tumaini katika Kristo na kuweka uaminifu wetu Kwake, tutahisi amani Yake. Dondoo. Rais Emily Belle FreemanIshi Kulingana na Fursa ZakoRais Freeman anawahimiza wanawake na wasichana kujifunza jinsi ibada za ukuhani na ahadi za maagano zitakavyoruhusu nguvu ya Mungu katika maisha yao, zikiwasaidia wafikie uwezo wao. Dondoo. Mzee Dale G. Renlund“Hii Ni Injili Yangu”—“Hili Ni Kanisa Langu”Mzee Renlund anafundisha kwamba muunganiko wa injili ya Mwokozi na Kanisa la Mwokozi unatupatia kufikia nguvu za Mungu na kutusaidia tuwe watakatifu. Dondoo. Mzee D. Todd ChristoffersonKuzika Silaha Zetu za UasiMzee Christofferson anatuhimiza kuzika dalili yoyote ya uasi dhidi ya Mungu katika maisha yetu, iwe ni kutotii amri Zake kwa makusudi au kupuuza mapenzi Yake kimyakimya. Dondoo. Mzee Patrick KearonKaribuni katika Kanisa la ShangweMzee Kearon anafundisha kuhusu shangwe ambayo inaweza kupatikana katika Kanisa la Yesu Kristo. Dondoo. Mzee Ulisses SoaresKufuganisha Mapenzi Yetu na YakeMzee Soares anafundisha kwamba jaribio la mwisho la ufuasi wetu linapatikana katika utayari wetu wa kuachana na utu wetu wa zamani na kunyenyekeza moyo wetu na nafsi yetu yote kwa Mungu ili kwamba mapenzi Yake yawe yetu. Dondoo. Mzee Gerrit W. GongUtakatifu kwa Bwana katika Maisha ya Kila SikuMzee Gong anatualika kufanya utakatifu kuwa sehemu ya maisha yetu ya kila siku, ambao utatusogeza karibu zaidi na Bwana na kila mmoja. Dondoo. Dada Kristin M. YeeShangwe ya Ukombozi WetuDada Yee anafundisha kwamba kupitia uhusiano wetu wa agano na Mungu, tunaweza kufikia utakaso, uponyaji, na nguvu za kukomboa za Yesu Kristo. Dondoo. Mzee David A. BednarKatika Kipindi Kisicho cha Miaka MingiMzee Bednar anatumia mifano ya Wanefi na Walamani katika Kitabu cha Mormoni kuonya dhidi ya kuruhusu kiburi kitugeuze kwenda mbali na Bwana. Dondoo. Rais Jeffrey R. Holland“Ni Mimi”Rais Holland anafundisha kuhusu utiifu kamili wa Kristo kwa Baba Yake na upendo Wake mkuu kwa kila mmoja wetu. Dondoo. Dada Tracy Y. BrowningKutafuta Majibu ya Maswali ya KirohoDada Browning anafundisha kwamba Mungu anaweza kutusaidia tukue kiroho kadiri tunavyouliza maswali ya dhati, kutii amri Zake na kuweka tumaini letu Kwake. Dondoo. Mzee Gary E. StevensonSiku Ambazo Kamwe HazitasahaulikaMzee Stevenson anatazamia miaka 10 inayokuja kama fursa ambayo haijapata kuonekana ya kushiriki habari njema za injili ya Yesu Kristo kwa ulimwengu. Dondoo. Kaka Bradley R. WilcoxEe Vijana wa Haki Tukufu ya UzaliwaAkizungumza na vijana, Kaka Wilcox anazungumzia swali, Kwa nini Watakatifu wa Siku za Mwisho huishi tofauti na wengine? Dondoo. Mzee Dieter F. UchtdorfLisha Mizizi, na Matawi YatakuaMzee Uchtdorf anafundisha kwamba matawi ya shuhuda zetu yatakua tunaporutubisha mizizi: imani katika Baba yetu wa Mbinguni na Yesu Kristo. Dondoo. Mzee Ronald A. Rasband“Tazama Mimi ni Mwangaza Ambao Mtainua Juu”Mzee Rasband anafundisha kuhusu kumkubali nabii aliye hai kwa kufuata mafundisho yake na mfano wake. Dondoo. Mzee Quentin L. CookMaandiko Matakatifu—Misingi ya ImaniMzee Cook anafundisha kuhusu umuhimu wa maandiko, hasa Kitabu cha Mormoni, katika uongofu endelevu. Dondoo. BangoHuna Haja ya Kuyabeba Peke Yako!Bango lenye nukuu kutoka kwa Rais Rais Russell M. Nelson kuhusu Mwokozi MwalikoMwaliko wa kushiriki katika kitu cha ajabu Karatasi za Kupamba Ukutani za MkutanoKaratasi za kupamba ukutani kutoka kwenye mkutano mkuu wa Oktoba 2024.