Kujifunza Kiingereza
Kusali kwa Kiingereza


“Kusali kwa Kiingereza,” EnglishConnect kwa ajili ya Walimu (2023)

“Kusali kwa Kiingereza,” EnglishConnect kwa ajili ya Walimu

mwanamke ameinamisha kichwa chake na anasema sala ya kufunga

Kusali kwa Kiingereza

Anza kila mkutano wa kikundi kwa sala katika Kiingereza. Kusali humwalika Roho. Baadhi ya wanafunzi wanaweza kuwa hawajui kwa nini tunasali au jinsi ya kusali. Ili kujifunza jinsi ya kuwafundisha wengine kuhusu sala, ona “Sala” katika “Kanuni za Kujifunza Farahasa” katika vitabu vya kiada vya mwanafunzi wa EnglishConnect na “Jinsi ya Kusali,

Unaweza kutumia msamiati na mipangilio ifuatayo ili kuwasaidia wanafunzi kuanza kusali kwa Kiingereza.

Example

Dear Heavenly Father,

We ask Thee …

We thank Thee for …

In the name of Jesus Christ, amen.

Memorize Vocabulary

Dear Heavenly Father

Mpendwa Baba wa Mbinguni

In the name of Jesus Christ, amen.

Katika jina la Yesu Kristo, amina.

Nouns

blessings

baraka

teacher

mwalimu

group

kikundi

family/families

familia

Verbs

learn

jifunze

speak

ongea

teach

fundisha

bless

bariki

press forward

songa mbele

Practice Pattern 1

We thank Thee for our (noun).

mpangilio 1 tunakushukuru Wewe kwa ajili ya nomino

Examples

We thank Thee for our group.

I thank Thee for my family.

Practice Pattern 2

We ask Thee to help us (verb).

mpangilio 2 tunakuomba Wewe utusaidie sisi kitendo

Examples

We ask Thee to help us learn.

I ask Thee to help me speak English.