Kujifunza Kiingereza
Asante


“Asante,” EnglishConnect kwa ajili ya Walimu (2023)

“Asante,” EnglishConnect kwa ajili ya Walimu

mwanamke akitabasamu akiwa darasani

Asante

Wewe unajihusisha na kazi ya kubadilisha maisha. Unapotumikia “kwa moyo, uwezo, akili na nguvu zako zote” (Mafundisho na Maagano 4:2), Bwana ataongeza uwezo wako na kukuza vipawa vyako. Juhudi zako za bidii zitabariki maisha yako na ya wale unaowafundisha.