EnglishConnect kwa ajili ya Wamisionari
Mpango wa Kujifunza EnglishConnect 3


“Mpango wa Kujifunza EnglishConnect 3,” Mwongozo wa Kujifunza EnglishConnect kwa ajili ya Wamisionari

“Mpango wa Kujifunza EC3,” EC kwa ajili ya Mwongozo wa Kujifunza kwa W

akina dada wamisionari wakiwa mtaani

Mpango wa Kujifunza EnglishConnect 3

Wamisionari Wakitumia Kitabukazi cha EnglishConnect 3

Kitabukazi cha EnglishConnect 3 kina sehemu mbili: “Personal and Companion Language Study” na “Proficiency Practice.” Inapendekezwa kwamba utumie muda kila wiki ukifanyia kazi sehemu zote mbili. (Ona “Jinsi ya Kutumia Kitabu Hiki” katika utangulizi wa Kitabukazi cha EnglishConnect 3 ili kujifunza zaidi.)

Siku ya 1

  • Anza “Personal Language Study.”

Siku ya 2–3

  • Endelea “Personal Language Study.”

  • Anza “Proficiency Practice”:

    • Siku ya 2: Mazoezi ya Ustadi wa Kuongea

    • Siku ya 3: Mazoezi ya Ustadi wa Kusikiliza

Unaweza kutumia Kitabukazi Sauti cha EnglishConnect 3 katika Maktaba ya Injili kwa ajili ya:

  • Shughuli za kusikiliza za kitabukazi.

  • Shughuli za “Memorize Vocabulary.”

  • Shughuli za “Read.”

  • Shughuli za “Practice Scenario.”

Siku ya 4–5

  • Anza “Practice Companion Language Study.”

  • Endelea na “Proficiency Practice.”

    • Siku ya 4: Mazoezi ya Ustadi wa Kusoma

    • Siku ya 5: Mazoezi ya Ustadi wa Kuandika

Siku ya 6

  • Endelea na “Practice Companion Language Study.”

  • Endelea na “Proficiency Practice.”

    • Siku ya 6: Mazoezi ya Ustadi wa Kusoma na Mazoezi ya Ustadi wa Kuandika

Wamisionari Wanaotumia Kozi za Mtandaoni za EnglishConnect 3

Kwa idhini kutoka kwa viongozi wako wa misioni, unaweza kutumia app ya mtandaoni ya EnglishConnect 3 badala ya Kitabukazi cha EnglishConnect 3. Ingia ukitumia jina la mtumiaji la Akaunti yako ya Kanisa na neno siri ili kuifikia kozi ya mtandaoni. Kama una matatizo yoyote ya kuifikia kozi ya mtandaoni, wasiliana na LanguageSupport@ChurchofJesusChrist.org.

Unaweza kukamilisha shughuli katika app ya mtandaoni ukifuata mpango ule ule uliotolewa hapo juu.