“Mpango wa Kujifunza EnglishConnect 1 na 2,” EnglishConnect kwa ajili ya Mwongozo wa Kujifunza kwa Wamisionari
“Mpango wa Kujifunza EC 1 na 2,” EC kwa ajili ya Mwongozo wa Kujifunza kwa W
Mpango wa Kujifunza EnglishConnect 1 na 2
Siku ya 1–2: Kitabu cha Kiada cha Mwanafunzi
-
Kwa muda wako, kamilisha shughuli katika sehemu ya “Personal Study” ya somo unalolisoma.
-
Ukiwa na mwenzako au mmisionari mwingine, kamilisha sehemu ya “Conversation Group” ya somo unalolisoma. Tumia mpango wa somo wa mwenza aliye katika daraja la chini.
Siku ya 3–4: Kitabukazi
-
Rejelea “Vocabulary” wa ziada ulio nyuma ya kitabukazi chako ukiwa pekee yako au pamoja na mwenza wako.
-
Kamilisha sehemu ya “Conversation” na “Activities 1–8” kwa ajili ya kusikiliza, kuongea, kusoma na kuandika (inapatikana katika kitabukazi au kwenye missionary.englishconnect.org).
-
Unaweza kutumia nyenzo za sauti za kitabukazi katika Maktaba ya Injili kwa ajili ya shughuli za kusikiliza kitabukazi:
-
Sauti ya Kitabukazi cha EnglishConnect 1
-
Siku 5–6: Kitabukazi na Kurejelea
-
Kamilisha “Expansion Activities” pekee yako au pamoja na mwenza wako. Unaweza kufanya shughuli hizi katika kitabukazi au kwenye missionary.englishconnect.org.
-
Kamilisha shughuli za “Practice” pamoja na mwenza wako. Tumia mpango wa somo wa mwenza aliye katika daraja la chini. Unaweza kufanya shughuli hizi katika kitabukazi kwenye missionary.englishconnect.org.
-
Kamilisha shughuli za matamshi na mazoezi ya kujichunguza (yanayopatikana kwenye missionary.englishconnect.org).
-
Rejelea msamiati, mipangilio na mazungumzo. Fanya mazoezi ya kuongea kwa kadiri uwezavyo.