“EnglishConnect kwa ajili ya Mpango wa Kujifunza kwa Wanaoanza,” EnglishConnect kwa ajili ya Mwongozo wa Kujifunza kwa Wamisionari
“Mpango wa Kujifunza kwa Wanaoanza,” EC kwa ajili ya Mwongozo wa Kujifunza kwa W
EnglishConnect kwa ajili ya Mpango wa Kujifunza kwa Wanaoanza
Fuata maelekezo kwenye missionary.englishconnect.org/beginners-guide ili kupakua app ya simu ya TALL Embark. Panga kukamilisha somo moja kila wiki.
Kupakua App ya Simu ya mkononi ya TALL Embark
-
Nenda kwenye embark.churchofjesuschrist.org au pakua app kwenye:
-
Ingia ukitumia akaunti yako ya Kanisa.
-
Kwa ajili ya “I Want to Learn,” chagua “English.”
-
Kwa ajili ya “Native Language,” chagua lugha mama yako.
-
Tafuta “Nyenzo” katika menyu na nenda kwenye “EnglishConnect kwa ajili ya Wamisionari” katika orodha ya nyenzo.
Siku ya 1–2
-
Jifunze msamiati kwa ajili ya somo.
-
Rejelea na fanyia mazoezi msamiati pamoja na mwenza wako au mmisionari mwingine.
Siku ya 3–4
-
Jifunze vifungu vya maneno kwa ajili ya somo.
-
Rejelea na fanya mazoezi na mwenza wako au mmisionari mwingine.
Siku ya 5–6
-
Tazama video za sarufi.
-
Andika sentensi chache au vifungu vya maneno kwa kutumia sarufi.
-
Rejelea msamiati na vifungu vya maneno.