Misaada ya Kujifunza
Partridge, Edward


Partridge, Edward

Muumini na kiongozi wa mwanzoni wa Kanisa baada ya urejesho wake katika nyakati hizi za sasa. Edward Partridge alitumika kama askofu wa kwanza wa Kanisa (M&M 36; 41:9–11; 42:10; 51:1–18; 115; 124:19).