1
Huyu Kristo
1. Kuna nuru gizani.
Inapokuwa ngumu,
Amini.
Amani itakuja
Tukibaki kwa Mwokozi.
Ndiye nuru.
[Chorus]
Ona --
Huyu Kristo
Atakuponya
Na kukuhuisha.
Ona --
Muamini,
Mtegemee,
Akupe nguvu,
Huyu Kristo.
Huyu Kristo.
2. Yeye ni tumaini.
Endapo ukizidiwa,
Atapoza.
Atakuimarisha
Watapokutishia usiku,
Ndiye nuru.
[Chorus]
Ona --
Huyu Kristo
Atakuponya
Na kukuhuisha.
Ona --
Muamini,
Mtegemee,
Akupe nguvu,
Huyu Kristo.
Huyu Kristo.
Tazama kwa Bwana.
Uhisi upendo.
Akufungue nafsi.
Kwa sala, tulia.
Atakufumbua macho.
Fungua mo yo. Ona --
Huyu Kristo
Atakuponya
Na kukuhuisha.
[Chorus]
Ona --
Muamini,
Mtegemee,
Akupe nguvu,
Huyu Kristo.
Huyu Kristo.
Maneno na muziki wa Nik Day
Arranged by Gavin McMahan, Mitch Davis, and Nik Day
Produced by Gavin McMahan and Mitch Davis
© 2024 by Intellectual Reserve, Inc. All rights reserved. Wimbo huu kwa matumizi ya kawaida, ya kanisa yasiyo ya kibiashara, au matumizi ya nyumbani. Notisi hii lazima ionekane kwenye kila nakala iliyotolewa.