3
Usihofu
[Chorus]
Usihofu.
Kuna nyota inakuongoza,
Naye yupo wa kukutuliza
Moyoni.
Oh, hujaachwa.
Haijalishi uliko,
Daima mkono wake upo.
1. Apo tishwa na fikra hasi,
Kukicha, hukiachi
Kitanda
Kwasababu moyo mazito yamejaa,
Wawaza, je, yatapita.
Kuna mtu aliyapitia
Na anajua kuponya.
Atafuta hofu zako na kwa kusudi
Akulee vizuri.
[Chorus]
Nyota inakuongoza,
Naye yupo wa kukutuliza
Moyoni.
Oh, hujaachwa.
Haijalishi uliko,
Daima mkono wake upo.
2. Apojihisi mdhaifu,
Kama utavunjika,
Atakuthibiti kama mlima
Vibunga visikung’oe.
Utakuwa kama simba, mto mkubwa,
Jua kileleni.
Utakuwa jasiri kama jeshi
Mwenye nguvu ya kushinda.
[Chorus]
Usihofu.
Kuna nyota inakuongoza,
Naye yupo wa kukutuliza
Moyoni.
Oh, hujaachwa.
Haijalishi uliko,
Daima mkono wake upo.
Tulia.
[Chorus]
Usihofu.
Kuna nyota inakuongoza,
Naye yupo wa kukutuliza
Moyoni.
Oh, hujaachwa.
Haijalishi uliko,
Daima mkono wake upo.
Maneno na muziki wa Nik Day
© 2024 by Intellectual Reserve, Inc. All rights reserved. Wimbo huu ni kwa matumizi ya kawaida, ya kanisa yasiyo ya kibiashara, au matumizi ya nyumbani. Notisi hii lazima ionekane kenye kila nakala inayotolewa.