Muziki wa Vijana
Amini


2

Amini

1. Wakati mwingine unaamini           

Hautaishi; 

Utakufa.

Lakini utajieleza vipi.

Unavyo hisi 

Mara kwa mara?

Wajua kipo kinachotuzidi 

Usiwe na shaka, amini.

[Chorus]

Amini. 

Shika Imani, 

Thabiti

Siku ijavyo.   

Bakia mwaminifu,

Na utaona miujiza. 

Ulipo panafaa.

Amini.

2. Kuna wakati tunataka jibu

Kwa kila swali                                   

Tulijue,                                           

Lakini lengo letu ni kumwamini,  

Kila hatua,

Mpango wake.

Wajua kipo kinachotuzidi,                         

Usiwe na shaka, amini.

[Chorus]

Amini. 

Shika Imani, 

Thabiti

Siku ijavyo.   

Bakia mwaminifu,

Na utaona miujiza. 

Ulipo panafaa.

Amini.

Siku moja utajua yote

Hauta uliza tena,

Hivyo basi,

[Chorus]

Amini. 

Shika Imani, 

Thabiti

Siku ijavyo.   

Bakia mwaminifu,

Na utaona miujiza. 

Ulipo panafaa.

Amini.

Maneno na muziki ya Nik Day

Arranged by Mitch Davis and Todd Trần

Produced by Mitch Davis and Todd Trần

© 2024 by Intellectual Reserve, Inc. All rights reserved. Wimbo huu unaweza kunakiliwa kwa ajili ya matumizi ya kawaida, ya kanisa yasiyo ya kibiashara au matumizi ya nyumbani. Notisi hii lazima ionekane kwenye kila nakala inayotolewa.

Kwa sauti na piano

Kwa sauti na gitaa

Kwa sauti na ukulele