Oktoba 2025 Liahona Ronald A. RasbandMaagano, Nguvu, na AhadiHekalu ni kitovu cha nguvu na ulinzi ulioahidiwa kwa waaminifu kabla ya Ujio wa Pili wa Bwana Yesu Kristo. Kwa Ajili ya Nguvu kwa Vijana Kwa nini Bwana ana Kanisa?Jibu fupi kwa swali: "Kwa nini Bwana ana Kanisa?" Rafiki Hadithi za Maandiko: Jane Manning Anasafiri Kwenda NauvooSoma hadithi kuhusu Jane Manning na familia yake wakitembea mamia ya maili kwenda Nauvoo kukusanyika pamoja na Watakatifu.