“Makala ya Imani,” Rafiki. Makala ya Imani 6. Tunaamini katika muundo ule ule ambao ulikuwepo katika Kanisa la Asili, yaani, mitume, manabii, wachungaji, walimu, wainjilisti, na kadhalika.