12. Yerusalemu Wakati wa Yesu
Kask.
Ufunguo
Mji katika wakati wa Yesu
Maeneo yalijengwa ukuta baadaye
Barabara ya kwenda Samaria
Bezetha (Mji Mpya)
Golgotha
Kaburi la Kwenye Bustani
Bwawa la Bethzatha
Lango la Samaki
Ngome ya Antonia
Bwawa la Israeli
Bustani ya Gethsemani
Lango la Susa
Lango la Kondoo
Baraza ya Sulemani
Hekalu
Mlima wa Mizeituni
Daraja
Lango Zuri
Barabara kwenda Emau na Yafa
Bwawa la Mnara
Barabara kwenda Bethania na Yeriko
Mnara wa Hekalu
Kasri ya Hasmoni
Baraza la Kifalme
Mfereji wa maji
Kasri ya Herode
Ngazi za kwenda Hekaluni
Chemchemi ya Gihoni
Bwawa la Nyoka
Mji wa Juu
Mfereji wa maji
Nyumba ya Kayafa
Mfereji wa Chini ya Ardhi wa Hezekia
Bonde la Hinomu
Chumba cha Orofani
Bonde la Kidroni
Mji wa Chini
Bwawa la Siloamu
Lango la Maji
Barabara kwenda Bethlehemu na Hebroni
Chemchemi ya Enrogeli
Barabara kwenda Bahari ya Chumvi
Mita
0 100 200 300 400
A B C D
1 2 3 4 5 6 7 8
1
2
3
4
5
6
7
8
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
-
Golgotha Mahali panapowezekana kuwa Yesu alisulubiwa (Mt. 27:33–37).
-
Kaburi la Kwenye Bustani Hapa yawezekana kuwa ndipo mahali ambapo lile kaburi ambamo mwili wa Kristo uliwekwa (Yn. 19:38–42). Kristo mfufuka alimtokea Maria Magdalena katika bustani nje ya kaburi Lake (Yn. 20:1–17).
-
Ngome ya Antonia Yesu yawezekana alishtakiwa, kuhukumiwa, kudhihakiwa na kupigwa mijeledi katika mahali hapa (Yn. 18:28–19:16). Paulo alikamatwa na kusimulia upya hadithi ya uongofu wake (Mdo. 21:31–22:21).
-
Bwawa la Bethzatha Yesu alimponya mtu aliyekuwa hajiwezi siku ya sabato (Yn. 5:2–9).
-
Hekalu Gabrieli alimwahidi Zakaria ya kuwa Elisabeti angelimzaa mwana (Lk. 1:5–25). Pazia la hekalu lilipasuka wakati wa kufa kwa Mwokozi (Mt. 27:51).
-
Baraza ya Sulemani Yesu alitangaza ya kuwa Yeye alikuwa ni Mwana wa Mungu. Wayahudi walijaribu Kumpiga kwa mawe (Yn. 10:22–39). Petro alihubiri toba baada ya kumponya mtu aliyekuwa kiwete (Mdo. 3:11–26).
-
Lango Zuri Petro na Yohana walimponya mtu aliyekuwa kiwete (Mdo. 3:1–10).
-
Mnara wa Hekalu Yesu alijaribiwa na Shetani (Mt. 4:5–7). (Yawezekana sana kuwa hapa ndipo eneo kla tukio hili.)
-
Mlima Mtakatifu (maeneo ambayo hayajatajwa)
-
Mapokeo yanashikilia kwamba hapa ndipo Ibrahimu alipojenga madhabahu kwa ajili ya kumtoa dhabihu Isaka (Mwa. 22:9–14).
-
Sulemani alijenga hekalu (1 Fal. 6:1–10; 2 Nya. 3:1).
-
Wababilonia waliliangamiza hekalu takribani katika mwaka 587 K.K. (2 Fal. 25:8–9).
-
Zerubabeli alilijenga upya hekalu takribani katika mwaka 515 K.K. (Ezra 3:8–10; 5:2; 6:14–16).
-
Herode alipanua gulio la hekalu na alilijenga upya hekalu kuanzia katika mwaka 17 K.K. Yesu aliletwa hapa kama mtoto mchanga (Lk. 2:22–39).
-
Katika umri wa miaka 12, Yesu alifundisha katika hekalu (Lk. 2:41–50).
-
Yesu alilisafisha hekalu (Mt. 21:12–16; Yn. 2:13–17).
-
Yesu alifundisha katika hekalu katika mara kadha wa kadha (Mt. 21:23–23:39; Yn. 7:14–8:59).
-
Warumi chini ya Tito waliliangamiza hekalu katika mwaka 70 B.K.
-
-
Bustani ya Gethsemani Yesu aliteseka, alisalitiwa, na alikamatwa (Mt. 26:36–46; Lk. 22:39–54).
-
Mlima wa Mizeituni
-
Yesu alitabiri angamizo la Yerusalemu na hekalu. Pia alizungumzia juu ya Ujio wa Pili (Mt. 24:3–25:46; ona pia JS—M).
-
Kutoka hapa Yesu alipaa mbinguni (Mdo. 1:9–12).
-
Katika Oktoba 24, 1841, Mzee Orson Hyde aliiweka wakfu Nchi Takatifu kwa ajili ya kurudi kwa watoto wa Ibrahimu.
-
-
Chemchemi ya Gihoni Sulemani alipakwa mafuta kuwa mfalme (1 Fal. 1:38–39). Hezekia alichimbisha njia ya chini ya ardhi ili kuleta maji kutoka chemchemi hii hadi mjini (2 Nya. 32:30).
-
Lango la Maji Ezra alisoma na kufasiri torati ya Musa kwa watu (Neh. 8:1–8).
-
Bonde la Hinomu mungu wa uongo Moleki aliabudiwa, ambako kulijumuisha kafara ya toto (2 Fal. 23:10; 2 Nya. 28:3).
-
Nyumba ya Kayafa Yesu alipelekwa mbele ya Kayafa (Mt. 26:57–68). Petro alikana kuwa yeye hamjui Yesu (Mt. 26:69–75).
-
Chumba cha Orofani Eneo la kimapokeo ambako Yesu alikula chakula cha Pasaka na akaianzisha sakramenti (Mt. 26:20–30). Aliosha miguu ya Mitume (Yn. 13:4–17) na akawafundisha (Yn. 13:18–17:26).
-
Kasri ya Herode Yesu alipelekwa mbele ya Herode, yawezekana katika eneo hili (Lk. 23:7–11).
-
Yerusalemu (maeneo ambayo hayajatajwa)
-
Melkizedeki alitawala kama mfalme wa Salemu (Mwa. 14:18).
-
Mfalme Daudi aliuteka mji huu kutoka kwa Wayebusi (2 Sam. 5:7; 1 Nya. 11:4–7).
-
Mji huu uliangamizwa na Wababilonia katika takribani mwaka wa 587 K.K. (2 Fal. 25:1–11).
-
Wengi walijazwa na Roho Mtakatifu katika siku ya Pentekoste (Mdo. 2:1–4).
-
Petro na Yohana walikamatwa hapa na kuletwa mbele ya baraza (Mdo. 4:1–23).
-
Anania na Safira walimdanganya Bwana na wakafa (Mdo. 5:1–10).
-
Petro na Yohana walikamatwa, lakini malaika aliwaokoa kutoka gerezani (Mdo. 5:17–20).
-
Mitume waliwachagua wanaume saba ili wawasaidie (Mdo. 6:1–6).
-
Ushuhuda wa Stefano kwa Wayahudi ulikataliwa, naye alipigwa mawe hadi kufa (Mdo. 6:8–7:60).
-
Yakobo aliuawa kifo cha kishahidi (Mdo. 12:1–2).
-
Malaika alimfungulia Petro kutoka gerezani (Mdo. 12:5–11).
-
Mitume waliamua juu ya suala la tohara (Mdo. 15:5–29).
-
Warumi chini ya Tito waliuangamiza mji huu katika mwaka 70 B.K.
-