Wito Wangu Kama Katibu wa Darasa la Wasichana
Nyenzo za Ziada
Kama nyongeza kwenye Kitabu cha Maelezo ya Jumla, tafadhali zingatia nyenzo hizi za ziada ili kukusaidia katika wito wako.
-
Maktaba ya Injili/Vijana.Gundua nyenzo zote za vijana, ikijumuisha “Dhima ya Wasichana,” dhima ya mwaka, misaada kwa ajili ya urais, Kwa Ajili ya Nguvu kwa Vijana: Mwongozo wa Kufanya Chaguzi, Mwongozo wa Kambi ya Wasichana, na muziki wa vijana!
-
@YoungWomenWorldwide.Tafuta jumbe zenye mwongozo wa kiungu na usaidizi kwa masomo na shughuli kutoka kwa Urais Mkuu wa Wasichana na baraza la wasichana.
-
Mikutano ya Kwa ajili ya Nguvu kwa Vijana.Mikutano ya KNV hufanyika kila mwaka ulimwenguni kote kwa vijana wanaotimiza miaka 14 na zaidi. Tafuta maelezo kuhusu mkutano wa eneo lako, na panga kuhudhuria!