Aprili 2026 Liahona Neil L. AndersenUshindi wa Mwokozi Wetu MpendwaMzee Andersen anashuhudia kwamba Yesu Kristo alivunja minyororo ya utumwa usio na mwisho wa kifo kwa kila mtu aliyeishi au atakayeishi duniani. Kwa Ajili ya Nguvu kwa Vijana David DicksonBaada ya Makosa Yako—Hata Yale MakubwaTunaweza kujifunza mengi kutoka kwa Mtume Petro kuhusu Mwokozi, Upatanisho Wake, na kujaribu tena. Rafiki Hadithi ya Maandiko: PasakaSoma hadithi kuhusu Musa akiwaongoza Waisraeli kutoka Misri na kugawanywa kimiujiza kwa Bahari ya Shamu.