Kanisa Liko Hapa
Nairobi, Kenya
Wakati Urejesho unaoendelea unapoendelea, injili inapatikana kote ulimwenguni. Kenya ni mfano wa ukuaji wa Kanisa katika Afrika.
14,143
waumini
2
vigingi
48
mikusanyiko
1
misheni
5
vituo vya historia ya familia
78
asilimia ya idadi ya watu ni Wakristo
1979
Waongofu wa kwanza kutoka eneo husika wanajiunga na Kanisa.
1988
Mfungo maalum unachangisha fedha za kutuliza kiangazi katika vijiji 15.
2001
Kigingi cha Nairobi kinaanzishwa.
2020
Ofisi za eneo Nairobi zinaanza kufanya kazi kikamilifu, zikihudumia waumini 100,000 katika mataifa 18 ya Afrika ya kati.
Picha kutoka Getty Images