Vitu vya kuburudisha
Itafute!
Kwa sababu ya Urejesho, leo watu kote ulimwenguni wanaweza kufahamu kuhusu injili ya Yesu Kristo! Ni nakala ngapi za Kitabu cha Mormoni unaweza kuzipata? Ni bendera ngapi za nchi mbali mbali unaweza kuzipata? Changamoto ya ziada: Je, unatambua bendera yoyote?
Kielelezo na Karen Lewis