Aprili 2017 Kikao Kikuu cha Wanawake Kikao Kikuu cha Wanawake Bonnie H. CordonMtumaini Bwana na Wala UsijitegemeeDada Cordon anatushuri tujifunze maandiko, tuombe, na kuwahudumia wengine ni tuweke imani yetu katika Kristo badala ya kuegemea uelewa wetu wenyewe. Carol F. McConkieUzuri wa UtakatifuDada McConkie anawahimiza kina dada watimize urithi wao wa utakatifu kwa kuweka maagano, kumfuata Roho, na kumtegemea Yesu Kristo. Linda K. BurtonWanawake ShupavuDada Burton anaelezea wanawake waaminifu katika Agano Jipya, katika siku za mapema za Urejesho, na katika siku zetu ambao wana imani thabiti na hakika. Henry B. Eyring“Amani Yangu Nawaachieni”Rais Eyring anafundisha kwamba Roho Mtakatifu hutuletea amani, hutusaidia kukumbuka uzoefu wa kiroho uliopita, hutuongoza kutenda mema, na kuleta msukumo wa umoja na upendo. Kikao cha Jumamosi Asubuhi Kikao cha Jumamosi Asubuhi Henry B. EyringKukusanya Familia ya MunguRais Eyring anafundisha kuhusu umuhimu wa kukusanyika kwa familia ya Mungu kupitia historia ya familia na kazi ya hekaluni. M. Joseph BroughMkono Wake wa Kuongoza Kila SikuNdugu Brough anafundisha kwamba Baba wa Mbinguni anajua mahitaji yetu na umempa kila mmoja wetu kifurushi cha huduma cha kiroho ili kutusaidia kurudi Kwake. Weatherford T. ClaytonMpango Mtukufu wa Baba YetuMzee Clayton anashuhudia juu ya mpango wa wokovu wa Baba wa Mbinguni, ikijumuisha nafasi ya Yesu Kristo na Upatanisho Wake katika mpango huo. Dale G. RenlundMchungaji Wetu MwemaMzee Renlund anamwelezea Yesu Kristo kama Mchungaji Mwema, ambaye ana huruma licha y amapungufu yetu na hupata furaha kuwaona kondoo Wake wakipona. Ulisses SoaresKuwa na Imani na Mungu Bila KuyumbaMzee Soares anafundisha kwamba tunapaswa kuwa thabiti na tusiyumbe katika imani yetu, Mark A. BraggKung’ara na Kung’ara hata Mchana Mkamilifu.Mzee Bragg anatufundisha kuhusu maeneo matatu ambayo daima tunaweza kupata nuru: nuru ya Kanisa, nuru ya injili, na Nuru ya Kristo, Russell M. NelsonKuvuta Nguvu za Yesu Kristo katika Maisha YetuMzee Nelson anafundisha kwamba tunaweza kuvuta nguvu ya Yesu Kristo katika maisha yetu tunapojifunza kuhusu Kristo, kuwa na imani Naye, kumtegemea na kutunza maagano yetu. Kikao cha Jumamosi Mchana Kikao cha Jumamosi Mchana Dieter F. UchtdorfKuwakubali kwa Maofisa wa KanisaRais Uchtdorf anawasilisha majina ya Wakuu Wenye Mamlaka na Maofisa Wakuu wa Kanisa kwa ajili ya kura ya kuwakubali. Kevin R. JergensenRipoti ya Idara ya Ukaguzi ya Kanisa, 2016Ndugu Jergensen anawasilisha Ripoti ya Idara ya Ukaguzi ya Kanisa kwa mwaka wa 2016. Brook P. HalesRipoti ya Takwimu, 2016Ndugu Hales anatoa ripoti ya Kanisa ya takwimu kwa mwaka wa 2016. Robert D. HalesKuwa mwanafunzi wa Bwana wetu Yesu KristoMzee Hales anatufundisha kuhusu tabia zilizounganika ambazo ni muhimu kwetu katika kuwa wanafunzi halisi wa Yesu Kristo. Jeffrey R. HollandNyimbo Zinazoimbwa na ZisizoimbwaAkitumia kufikirika kutoka kwenye wimbo “There is Sunshine in My Soul Today,” Mzee Holland anatoa hamasisho kwa wale ambao wanahisi kuwa hawawezi kuimba “wimbo wa shangwe.” Gary B. SabinSimama Ndani na Kuwa NdaniMzee Sabin anatushauri tuwe “ndani pamoja” tunapojitahidi kuwa jasiri katika kuvishika viwango wa injili ya Yesu Kristo. Valeri V. CordónLugha ya InjiliMzee Cordon anafundisha kwamba injili, kama lugha, sharti ifunzwe kwa bidii na kuwa mtindo nyumbani ili vizazi vijavyo visiipoteze. Neil L. AndersenKushinda UlimwenguMzee Andersen anafundisha maana ya kuishinda ulimwengu. Inajumuisha kutubu, kumfuata Mwokozi, kuweka maagano yetu, na kujigeuza nje. M. Russell BallardRudi na UpokeeMzee Ballard anatualika tufanye yote tunayoweza ili tuweze kurudi kwa Baba yetu wa Mbinguni na kupokea baraka ambazo ametuwekea. Kikao Kikuu cha Ukuhani Kikao Kikuu cha Ukuhani Thomas S. MonsonWema, Hisani, na UpendoRais Monson anawafundisha wenye ukuhani kufuata mfano wa Mwokozi wema. David A. BednarKuitwa katika UtumishiMzee Bendar anafundisha kwamba kupangiwa kuhudumu mahali mahususi in si muhimu kama vile wito wa kutumikia. Pia anajadili maandalizi ya misheni. Gérald CausséAndaa NjiaAskofu Causée anawataka Makuhani wa Haruni na Melkizedeki kufanya kazi pamoja katika kuongoza, na kuwahudumia wegnine, na kukamilisha kazi ya wokovu. Dieter F. UchtdorfAliye Mkubwa Miongoni MwenuRais Uchtdorf anatushauri tusiwe kama Wana wa Ngurumo, kutaka nafasi za umashuhuri, bali kuhudumu pale tumeitwa bila kutarajia malipo. Henry B. Eyring“Tembea Nami”Rais Eyring anawafundisha wenye ukuhani kwamba Bwana atawakuza na kuwaimarisha wao “wanapotembea pamoja” Naye katika huduma yao ya ukuhani. Kikao cha Jumapili Asubuhi Kikao cha Jumapili Asubuhi Thomas S. MonsonNguvu ya Kitabu cha MormoniRais Monson anatuhimiza tusome Kitabu cha Mormoni kila siku ili tuweze kulindwa kutokana na dhambi na uovu kupitia ushuhuda imara wa Yesu Kristo. Joy D. JonesKizazi kinzani kwa DhambiDada Jones anafundisha kwamba tunaweza kuwasaidia watoto kuwa jasiri na kukinza dhambi. Yoon Hwan ChoiUsitazame Karibu, Tazama Juu!Mzee Choi anafundisha kwamba tunaweza kuwaalika wengine kuja kwa Kristo, na tunaweza kufanya hivyo kwa kumtegemea Kristo kama mfano wetu na kumfuata Yeye. Ronald A. RasbandAcha Roho Mtakatifu AongozeMzee Rasband anafundisha kwamba Roho Mtakatifu hutuongoza, hutushuhudia, hutufundisha, na hutusukuma. L. Whitney ClaytonLolote Atakalowaambia, Fanyeni.Mzee Clayton anafundisha kwamba tunapotii amri za Mungu, hata katika njia ndogo, Atatubariki kwa imani imani na uthabiti. Dallin H. OaksUungu na Mpango wa WokovuMzee Oaks anafundisha kwamba kwa sababu tunajua ukweli kuhusu Uungu na mpango wa wokovu, tuna ramani ya msingi ya safari ya maisha yetu ya duniani. Dieter F. UchtdorfUpendo Kamili Hutupa Hofu NjeRais Uchtdorf anafundisha kwamba tunaweza kuishi kwa imani badala ya kuogopa kadri tunavyoweka imani katika upendo halisi na kamili wa Yesu Kristo. Kikao cha Jumapili Mchana Kikao cha Jumapili Mchana D. Todd ChristoffersonSauti ya OnyoMzee Christofferson anatuomba kwamba tunawaonye wengine kwa kushiriki viwango vya injili ili kwamba wao pia pia waweze kujifundisha juu ya baraka za mpango mkuu wa furaha. Joaquin E. CostaKwa Marafiki na Wachunguzi wa KanisaMzee Costa anashiriki kanuni nne kwa marafiki na wachunguzi wa Kanisa. S. Mark PalmerYesu Akamkazia macho na AkampendaMzee Palmer anafundisha kwamba ili sisi tuwaalike wengine kumfuata Kristo tunahitaji kwanza kuwapenda. Gary E. StevensonJinsi Gani Roho Mtakatifu Anaweza Kukusaidia Wewe?Mzee Stevenson anafundisha kwamba Roho Mtakatifu—mtu wa roho na mshiriki wa Uungu—huonya, hufariji, na hushuhudia. C. Scott GrowNa Uzima wa Milele Ndio HuuMzee Grow anafundisha kwamba tunaweza kuja kumjua Mungu kupitia maombi, kujifunza maandiko, na utiifu kwa mapenzi Yake. Benjamín De HoyosIli Nuru Yetu na Ipate Kuwa Bendera kwa MataifaMzee De Hoyos anafundisha kwamba tunaweza kuwa nuru kwa kuishika vyema siku ya Sabato, kushiriki katika historia ya familia na kazi ya hekaluni, na kufundisha katika njia ya Mwokozi. Quentin L. CookMisingi ya ImaniMzee Cook anafundisha kwmba ni sharti tufanye dhabihu na kuwa na unyenyekevu ili kuimarisha imani yetu katika Yesu Kristo.