1:27
Ripoti ya Takwimu, 2016
Urais wa Kwanza umetoa ripoti ya takwimu ya Kanisa ifuatayo kufikia Disemba 31, 2016.
Vitengo vya Kanisa
|
Vigingi |
3,266 |
|
Misheni |
421 |
|
Wilaya |
556 |
|
Kata na Matawi |
30,304 |
Waumini wa Kanisa
|
Jumla ya Waumini |
15,882,417 |
|
Watoto Wapya wa Kumbukumbu |
109,246 |
|
Waongofu Waliobatizwa |
240,131 |
Wamisionari
|
Wamisionari wa Muda |
70,946 |
|
Wamisionari wa Huduma za Kanisa |
33,695 |
Mahekalu
|
Mahekalu Yaliyoweka wakfu katika mwaka 2016 (Provo City Center, Sapporo Japan, Philadelphia Pennsylvania, Fort Collins Colorado, Star Valley Wyoming, na Hartford Connecticut) |
6 |
|
Mahekalu yaliyowekwa wakfu upya (Suva Fiji na Freiberg Germany) |
2 |
|
Mahekalu Yanayofanya Kazi Kufikia Mwishoni wa Mwaka |
155 |