Je, Malengo Yako ni Yapi na Ndoto Zako ni Zipi? Rafiki, Machi. 2023, 38.
Je, Malengo Yako ni Yapi na Ndoto zako ni Zipi?
Hiki ndicho baadhi ya watoto walikisema!
Kuwa mwana paleontolojia (kujifunza kuhusu dinosau)
Layna H., umri miaka 10, Idaho, Marekani
Kuwa bingwa wa elimu ya wadudu (kujifunza kuhusu wadudu)
Nathan Y., umri miaka 10, West Midlands, Uingereza
Kumiliki mgahawa
Emma R., umri miaka 9, Alberta, Kanada
Kufanya ubatizo hekaluni nifikapo umri wa miaka 12
Etevise T. Umri miaka 9, Queensland, Australia
Kuwa mwandishi
Simon P., umri miaka 10, Hesse, Ujerumani
Kuwa seremala
Truman B., umri miaka 9, Cairo, Misri
Kuwa msanii
Natalie S., umri miaka 8, Florida, Marekani
Kuwa mcheza soka wa timu ya taifa
Jacob C., umri miaka 9, Washington, Marekani