“Kwa ajili ya Watoto Wakubwa,” Rafiki, Machi. 2023, 35. Kwa ajili ya Watoto Wakubwa Chemsha Bongo ya Haraka Jina la kaka wa Mariamu na Martha ni? Labani Luka Lazaro Lakonia (Ona Yohana 11:1.) Maneno yenye Mwongozo wa Kiungu “Usiogope, amini tu.” (Marko 5:36) Kilichoko Ndani: Tatizo la Kushiriki 36 Je, Malengo na Ndoto Zako ni Zipi? 38 Mimi Ni wa Kustaajabisha 39 Ni Lilian Tu 40 Lengo Tamu 42