Misaada ya Kujifunza
TJS, 2 Samweli 12


TJS, 2 Samweli 12:13. Linganisha na 2 Samweli 12:13

Dhambi ya kuhuzunisha ya Daudi haijaondolewa na Mungu.

13 Na Daudi akamwambia Nathani, Nimemfanyia Bwana dhambi. Na Nathani akamwambia Daudi, Bwana pia hajaiondoa dhambi yako na kwamba hutakufa.