Misaada ya Kujifunza
16. Gereza la Carthage


16. Gereza la Carthage

picha 16

Jengo la gereza katika mji wa Carthage, Illinois.

Matukio muhimu: Joseph Smith na Kaka yake Hyrum walikwenda Carthage Juni 24, 1844. Walitupwa ndani ya gereza hili mnamo Juni 25 kwa mashtaka ya uongo ya uhaini. Mnamo Juni 27 kundi la wanaume wahuni wakiwa wamejipaka rangi nyeusi usoni lilivamia gereza hili. Joseph na Hyrum walipigwa risasi hadi kufa, na John Taylor alijeruhiwa mara kadhaa. Willard Richards hakujeruhiwa.