Misaada ya Kujifunza

Picha zilizomo katika Biblia

  • Yaliyomo

  • Utangulizi

  • Maelezo ya Jumla

  • 1. Mto Nile na Misri

  • 2. Mlima Sinai (Horebu) na Nyika za Sinai

  • 3. Nyika za Uyahudi

  • 4. Kadeshi-barnea

  • 5. Makaburi ya Mapatriaki

  • 6. Nchi ya Milima ya Uyahudi

  • 7. Bethlehemu

  • 8. Yerusalemu

  • 9. Hekalu la Herode

  • 10. Ngazi za Kwenda Hekaluni

  • 11. Mlima wa Mizeituni

  • 12. Bustani ya Gethsemani

  • 13. Golgotha

  • 14. Kaburi la Kwenye Bustani

  • 15. Yeriko

  • 16. Shilo

  • 17. Shekemu

  • 18. Dothani katika Samaria

  • 19. Kaisaria na Uwanda wa Sharoni hadi Karmeli

  • 20. Yafa

  • 21. Bonde la Yezereeli

  • 22. Mlima Tabori

  • 23. Bahari ya Galilaya na Mlima wa Mahubiri ya Heri

  • 24. Kapernaumu

  • 25. Mto Yordani

  • 26. Kaisaria Filipi

  • 27. Nazarethi

  • 28. Dani

  • 29. Athene

  • 30. Korintho

  • 31. Efeso

  • 32. Kisiwa cha Patmo

32. Kisiwa cha Patmo


32. Kisiwa cha Patmo

picha 32

Patmo ni kisiwa katika bahari ya Aegani ambako Yohana alifukuziwa (Ufu. 1:9). Kulingana na mapokeo, yeye alikuwa akifanya kazi huko katika machimbo ya mawe ya marumaru.

Tukio Muhimu: Yohana aliona ono kuu linalojulikana kama Ufunuo (Kitabu cha Ufunuo). Bwana alimwambia kukipeleka kwa makanisa saba yaliyoko katika Asia (Ufu. 1:11).