Wito Wangu kama Mpiga Ala Saidizi katika Kata
Nyenzo za Ziada
Kama nyongeza kwenye Kitabu cha Maelekezo ya Jumla, tafadhali zingatia nyenzo hizi za ziada ili kukusaidia kwenye wito wako.
-
Maktaba ya Muziki wa Kanisa.Mkusanyiko kamili wa muziki wa Kanisa kwa ajili ya mkusanyiko, kwaya, mtu mmoja mmoja na muziki wa ala.
-
Mpiga Kinanda Mpya katika Kata—Nyenzo za Mafunzo.Mafunzo kwa ajili ya mpiga ala na nyimbo za dini kwenye kinanda.
-
Mabadiliko ya Kinanda kwa Nyimbo za Dini.Marekebisho yaliyorahisishwa ya nyimbo za dini kwa ajili ya muziki wa ala pekee wa kabla na baada ya mkutano.
-
Nyimbo za Dini Zilizorahisishwa kwa ajili ya Kinanda.Mkusanyiko wa muziki wa ala ya kinanda uliorahisishwa kwa ajili ya nyimbo zilizoteuliwa.
-
Vitabu vya Kiada vya Wamiliki kwa ajili ya Vinanda vya Kanisa.Maelekezo ya mtumiaji kwa vinanda vinavyotolewa na Kanisa.
-
Kutumia Kitabu cha Nyimbo za Dini.Maelekezo ya namna ya kutumia nyenzo zilizojumuishwa katika kitabu cha nyimbo za dini.
-
Kutumia Kitabu cha Nyimbo za Watoto.Maelekezo ya kutumia nyenzo zilizojumuishwa katika Kitabu cha Nyimbo za Watoto.