Wito Wangu kama Katibu wa Wasichana katika Kigingi
Nyenzo za Ziada
Kama nyongeza kwenye Kitabu cha Maelezo ya Jumla, tafadhali zingatia nyenzo hizi za ziada ili zikusaidie katika wito wako.
-
Programu ya Vijana wa Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku za Mwisho.Matangazo na nyenzo kwa ajili ya miito ya vijana.
-
Njoo, Unifuate—Kwa Ajili ya Nyumbani na Kanisani, Maktaba ya Injili.Mtaala wa Jumapili kwa ajili ya wasichana.
-
Kwa Ajili ya Nguvu kwa Vijana: Mwongozo wa Kufanya Chaguzi (2022), Maktaba ya Injili.Mwongozo unaowaelekeza vijana kwa Mwokozi na kuwafundisha jinsi ya kufanya chaguzi za haki kulingana na kweli za milele za injili Yake iliyorejeshwa.
-
Misaada kwa ajili ya Urais, Maktaba ya Injili.Misaada kwa ajili ya urais wa madarasa katika kutimiza miito yao.
-
Wasichana, ChurchofJesusChrist.org.Programu, nyenzo na taarifa.