EnglishConnect kwa ajili ya Wamisionari
Somo 23: Matukio Maalumu


“Somo la 23: Matukio Muhimu,” EnglishConnect 2 kwa ajili ya Wanafunzi (2022)

“Somo la 23,” EnglishConnect 2 kwa ajili ya Wanafunzi

wanaume na wavulana wakitembea

Lesson 23

Special Occasions

Lengo: Nitajifunza kusimulia kuhusu matukio yaliyopita.

Personal Study

Jiandae kwa ajili ya kikundi chako cha mazungumzo kwa kukamilisha shughuli A hadi E.

ikoni a
Study the Principle of Learning: Exercise Faith in Jesus Christ

Tumia imani katika Yesu Kristo.

Jesus Christ can help me do all things as I exercise faith in Him.

Yesu Kristo anaweza kunisaidia kufanya mambo yote ninapoonyesha imani Kwake.

Katika Biblia, tunajifunza kuhusu mwanamke aliyeugua kwa miaka mingi. Alitumia fedha zake zote akijaribu kupata tiba. Alikuwa ameenda kwa madaktari wengi, lakini maradhi yake yalimzidi sana. Kisha yule mwanamke alisikia kuhusu Yesu. Alimwona katikati ya umati wa watu. Aliamini Yesu alikuwa na uwezo wa kumponya. Aliamini kama yeye angegusa tu mavazi Yake, angeweza kuponywa. Alikuja nyuma ya Yesu na aligusa vazi Lake. Alihisi mwili wake ukipona. Yesu alijihisi nguvu zikimtoka mwilini Mwake. Wakati alipouliza ni nani aliyegusa mavazi Yake, mwanamke yule alikuwa na uoga kukubali kwamba ilikuwa ni yeye hapo mwanzoni, lakini kisha alikiri kwamba ilikuwa ni yeye.

Yesu alisema, “Jipe moyo mkuu, imani yako imekuponya; enenda zako na amani” (Luka 8:48).

Mwanamke huyu aliamini, na alitenda kwa Imani. Kumfikia Yesu kilikuwa ni kitendo kidogo, lakini kilileta nguvu Zake katika maisha yake. Hauhitaji kuwa na aibu au kuogopa kumwomba Mungu msaada. Yeye anataka kukusaidia. Unapoweka imani, hata katika njia ndogo, italeta nguvu ya Yesu Kristo katika maisha yako.

Kristo akimfariji mwanamke

Ponder

  • Bwana amekupatia nguvu wakati unajifunza Kiingereza?

  • Ni kwa jinsi gani unaweza kutumia imani katika maeneo mengine ya maisha yako?

ikoni b
Memorize Vocabulary

Jifunze maana na matamshi ya kila neno kabla ya kikundi chako cha mazungumzo. Jaribu kutumia maneno katika maisha yako. Fikiria kuhusu lini na wapi ungeweza kutumia maneno haya.

a fun time

wakati wa burudani

Nouns

awards ceremony

sherehe zakutunukiwa zawadi

family reunion

kuunganika tena kwafamilia

food

chakula

graduation

mahafali

nice speeches

hotubanzuri

wedding dinner

Karamu yaharusi

Verbs Past

ate food

alikula chakula

danced

alicheza dansi

gave gifts

alitoa zawadi

got together with friends

aikutana pamoja na marafiki

listened to speeches

alisikiliza hotuba

shared memories

alishiriki kumbukumbu

watched fireworks

alitazama kazi ya baruti

Adjectives

beautiful

mrembo

boring

ya kuchosha

exciting

ya kuchangamsha

fun

burudani

horrible

ya kutisha

tiring

yenye kuchosha

weird

mbaya

ikoni c
Practice Pattern 1

Fanya mazoezi ukitumia mipangilio mpaka uweze kwa kujiamini kuuliza na kujibu maswali. Unaweza kubadilisha maneno yaliyopigiwa mstari na maneno katika sehemu ya “Memorize Vocabulary.”

Q: How was the (noun)?A: It was (adjective). I had a (adjective) time. There were (noun).

Questions

swali la mpangilio wa 1 Nomino ilikuwaje

Answers

jibu la mpangilio 1 ndiyo, Ilikuwa ni kivumishi Nilikuwa muda kivumishi. Palikuwa na nomino.

Examples

mama na mwanaye wakipiga picha ya mahafali

Q: How was the graduation?A: It was exciting. We had a fun time. There were nice speeches.

Q: How did the party go?A: It was tiring. I had a horrible time. There was a weird band.

ikoni d
Practice Pattern 2

Fanya mazoezi ukitumia mipangilio mpaka kwa kujiamini uweze kuuliza na kujibu maswali. Jaribu kutumia mipangilio katika mazungumzo na rafiki. Ungeweza kuzungumza au kutuma jumbe.

Q: What did you do at the (noun)?A: I (verb past).

Questions

swali la mpangilio wa 2 Q: Ulifanya nini kwa nomino

Answers

jibu la mpangilio wa 2 mimi kitenzi wakati uliopita

Examples

Wahitimu walirusha kofia hewani

Q: What did you do at the graduation?A: We ate food and shared memories.

Mahali pamepambwa kifahari

Q: What did they do at the wedding dinner?A: They got together with friends.

ikoni e
Use the Patterns

Andika maswali manne unayoweza kumuuliza mtu. Andika jibu la kila swali. Yasome kwa sauti.

Additional Activities

Kamilisha shughuli za somo na upimaji mtandaoni kwenye englishconnect.org/learner/resources au katika Kitabu cha Kazi cha EnglishConnect 2.

Act in Faith to Practice English Daily

Endelea Kufanyia mazoezi Kiingereza kila siku. Tumia “Kifuatiliaji chako cha Kujifunza Binafsi.” Pitia tena lengo lako la kujifunza na utathimini juhudi zako.

Conversation Group

Discuss the Principle of Learning: Exercise Faith in Jesus Christ

(20–30 minutes)

Kristo akimfariji mwanamke

ikoni ya 1
Activity 1: Practice the Patterns

(10–15 minutes)

Pitia tena orodha ya msamiati pamoja na mwenzako.

Fanya mazoezi ya mpangilio wa 1 na mwenzako:

  • Fanya mazoezi ya kuuliza maswali.

  • Fanya mazoezi ya kujibu maswali.

  • Fanya mazoezi ya mazungumzo ukitumia mipangilio.

Rudia mpangilio wa 2.

ikoni ya 2
Activity 2: Create Your Own Sentences

(10–15 minutes)

Tazama picha. Uliza na ujibu maswali kuhusu kila tukio. Sema mengi kadiri uwezavyo. Chukueni zamu. Badilishaneni wenza na mfanye mazoezi tena.

Example: graduation

mwanamke akitoa tabasamu kwenye mahafali
  • A: How was the graduation?

  • B: It was boring.

  • A: What did you do at the graduation?

  • B: We listened to speeches.

Image 1: wedding

wanandoa wameoana hekaluni

Image 2: birthday party

tafrija ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kwa mtoto

Image 3: awards ceremony

kutolewa cheti

Image 4: retirement party

mwanamke katika tafrija ya kustaafu

ikoni ya 3
Activity 3: Create Your Own Conversations

(15–20 minutes)

Uliza na ujibu maswali kuhusu matukio, sherehe, au matukio maalumu. Tumia msamiati kutoka kwenye somo hili na somo la 22. Sema mengi kadiri uwezavyo. Chukueni zamu.

Sherehe ya familia ya siku ya kuzaliwa

Example

  • A: How was the family reunion?

  • B: It was fun!

  • A: What did you do at the family reunion?

  • B: We shared memories with family members.

  • A: Who was there?

  • B: My aunts, uncles, and cousins were there.

Evaluate

(5–10 minutes)

Tathmini maendeleo yako juu ya nia na juhudi zako za kufanyia mazoezi Kiingereza kila siku.

Evaluate Your Progress

I can:

  • Ask about past events.

    Uliza kuhusu matukio ya siku zilizopita.

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha
  • Talk about past events.

    Zungumzeni kuhusu matukio yaliyopita.

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha

Evaluate Your Efforts

Tathmini juhudi zako za:

  1. Kusoma kanuni ya kujifunza.

  2. Kariri Msamiati.

  3. Kufanyia mazoezi mipangilio.

  4. Fanya mazoezi kila siku.

Weka lengo. Fikiria mapendekezo ya kujifunza katika “Kifuatiliaji cha Kujifunza Binafsi.”

Shiriki lengo lako na mwenzako.

Act in Faith to Practice English Daily

“Wakati Mwokozi anapojua wewe kweli unataka kumfikia Yeye—wakati Yeye anapoweza kuhisi kwamba hamu kubwa ya moyo wako ni kuvuta nguvu Zake katika maisha yako—wewe utaongozwa na Roho Mtakatifu kujua nini unapaswa kufanya [ona Mafundisho na Maagano 88:63]. Wakati kiroho unapofanya zaidi ya vile ambavyo umekuwa ukifanya hapo awali, ndipo nguvu Yake itatiririka kwako” (Russell M. Nelson, “Kuleta Nguvu ya Yesu Kristo Maishani Mwetu,” Liahona, Mei 2017, 42).