“Kutumia Nyenzo hii ya Sauti,” Kitabukazi cha Sauti cha EnglishConnect 1 (2024)
“Maelekezo,” Kitabukazi cha Sauti cha EnglishConnect 1
Kutumia Nyenzo hii ya Sauti
Mafaili haya ya sauti yamesanifiwa ili kukamilisha shughuli za usikilizaji katika Kitabukazi cha EnglishConnect1. Katika kitabukazi hiki, utapata shughuli zikiwa na alama za ikoni zifuatazo:
Ikoni ya Shughuli ya Kusikiliza
Piga Chapa Kitabu Kazi
Ili kufaidika kikamilifu na shughuli hizi za kusikiliza, utahitaji nakala kamili ya Kitabukazi cha EnglishConnect1. Jipatie kitabukazi chako kwa kununua nakala iliyopigwa chapa kwenye store.ChurchofJesusChrist.org au pakua toleo la kidijitali kwenye englishconnect.org.
Kwa urahisi wako, utangulizi kamili kutoka katika kitabukazi kilichopigwa chapa umejumuishwa kufuatia sehemu hii kwa ajili ya rejea rahisi.